Selfika na JF: Snap it. Show it

View attachment 3126970

Siku moja moja sio vibaya kujumuika na Vijana kukumbukia enzi za Mwaka 47 πŸ€—
Niliingia hapo kumtafuta Dr Lizzy lakini nilitoka baada ya dakika 5 maanake kila nikiangalia kushoto kulia naona biinti zangu tu huku wananishangaa huyu babu kapotea njia 🀣🀣🀣🀣
 
Daughters are the best [IMO].

Nevertheless, all kids are special.
 
Niliingia hapo kumtafuta Dr Lizzy lakini nilitoka baada ya dakika 5 maanake kila nikiangalia kushoto kulia naona biinti zangu tu huku wananishangaa huyu babu kapotea njia 🀣🀣🀣🀣
Mimi pia nilidhani ningemuona hiyo Jana, maana kulikuwa na Karaoke

Pamoja na kuvaa miwani ya macho, lakini hata sikubahatika kumuona πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…