Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20241016_205004_316.jpg


Siku moja moja sio vibaya kujumuika na Vijana kukumbukia enzi za Mwaka 47 🤗
 
Hongera Mkuu, you have been blessed with a very nice daughter

Wanasema mtoto wa kike ni rafiki wa Baba👊

Siku nikifanikiwa kupata mtoto wa kike kwenye Uzao wangu, lazima ninunue Mbwa mkali kwaajili ya kuimarisha Ulinzi nyumbani

Sitaki akina Kapachino na wenzake akina Half american hata wamsogelee 🤗
Daughters are the best [IMO].

Nevertheless, all kids are special.
 
Niliingia hapo kumtafuta Dr Lizzy lakini nilitoka baada ya dakika 5 maanake kila nikiangalia kushoto kulia naona biinti zangu tu huku wananishangaa huyu babu kapotea njia 🤣🤣🤣🤣
Mimi pia nilidhani ningemuona hiyo Jana, maana kulikuwa na Karaoke

Pamoja na kuvaa miwani ya macho, lakini hata sikubahatika kumuona 🙌
 
Back
Top Bottom