Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii breakfast mbona hatushibi Mjukuu πŸ€—
β˜•οΈ ya kuchangamsha kichwa after midnight!😡😡

Alafu nilikuwa nimejaa tele kwenye Karaoke 🎀

Kabla ya hapo nilikua nazunguka zunguka kila mahali...mara jiko la juu, mara la chini, mara counter...ili mradi tu we na RRONDO mnione ila wapi!πŸ€¦πŸΎβ€β™€οΈ
 
Kuna binti mmoja nilimwona Jana akiimba ule wimbo wa "Love doesn't ask why" wa kwake Bibie Celin Dion usikute ulikuwa ni wewe Mjukuu

Wakati nasogea Kwa mwendo wa Kizee ili nikamtuze akawa ameshashuka stejini

Nikaamini kweli Wazee hatuna bahati πŸ™Œ
 
Sio mimi, lakini siku nyingine umtume kijana basi nisije nikakosa kutuzwa! πŸ˜”
Alafu ukija tena mshtue yule mama wa mishkaki karibu na stage, aniite πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…