Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
☕️ ya kuchangamsha kichwa after midnight!😵😵Hii breakfast mbona hatushibi Mjukuu 🤗
Alafu nilikuwa nimejaa tele kwenye Karaoke 🎤
Kabla ya hapo nilikua nazunguka zunguka kila mahali...mara jiko la juu, mara la chini, mara counter...ili mradi tu we na RRONDO mnione ila wapi!🤦🏾♀️