Unaogopa wataibeba?? πΉπΉπΉπ€£π€£Ila usiqoute nitakurushia mwiko π€£
Hii pisi ya moto π₯°π₯°π₯°
Nimeona upo vizuri.Kwa kuiba hawajambo
Unaweza Kuta kesho watu wanashuka Nazoπ€£π€£
ππAsante my WiiHii pisi ya moto π₯°π₯°π₯°
Jamani kaka kapata chombo haswaa
Wifi umeumbwa ukaumbika anayebisha atakuwa na kijiba πΉ
Hilo bonge la wazo aisee ππNimeona upo vizuri.
Kama unaogopa watakuja kuzileta ww anza kuwachanganya unawawekea hadi za wachinaπ
Si umeona picha za mwaka 47 leo zimeletwa mwenyewe nilishasahu πΉπΉπΉKwa kuiba hawajambo
Unaweza Kuta kesho watu wanashuka Nazoπ€£π€£
Mi muda wote km nimekula pilipili πΉπΉππAsante my Wii
ππKwanini kijiba au ndo ushakula wali wa pilipili
AyyyaNiweze wapi my Wii hapa Kuna darasa la Lilian komba na fooddiary wanaungana natamani nijiunge nijifunze kupika na spices zenye majina ya kizunguπππ
Mwambie kakaako atoe Hela tupike wali wa pilipili πππ
Mambooo!!!
As i said thats my ride or die, and i got 3 of em.. Ctrl C + V no DNA necessary.your ride o die looks like a minor
this pic sus
PoaMambooo!!!
Kila la kheri π¦π¦π¦π¦Mbona kama sielewi? πππππ
Ina maana napitwa na ya humu hivi? Huu ubusy hovyo kabisa.
Anyway leo nitakuwa uwanjani, nani anaenda? Ila ndiyo tusioteane, ndiyo huyu ndiyo yule please π π π π π π
#Yangadaimambele#
π‘π’
Ukimuona jamaa kavaa kofia nyeusi Ina logo ya Yanga afu mweupe ujue ni Mimi πππMbona kama sielewi? πππππ
Ina maana napitwa na ya humu hivi? Huu ubusy hovyo kabisa.
Anyway leo nitakuwa uwanjani, nani anaenda? Ila ndiyo tusioteane, ndiyo huyu ndiyo yule please π π π π π π
#Yangadaimambele#
π‘π’
Ni wezi kuwa makiniView attachment 3129614
Ndugu yangu Grahams ulishafika kusini?? Newala, nachingwea, mtama
Nipe sifa ya pisi za huku...
Mambo tunaweza kupata kahawa hapa taifa kwenye mechi ya Yanga na SimbaMtt wa kishua nakuonaπ
Asante mkuu. Mimi sina chakuibiwa. Labda hii tekno yangu...Ni wezi kuwa makini
Poa kaka VinMambo