Kitabu cha Vijana kukisoma na kupata maarifa, msije kushindwa kununua Plot Masaki na Mbezi beach kwa kushindwa kuwekeza kama Babu zenu hapa π€
View attachment 3133327
Hahaha..........nitajitahidi kufanya hivyo next time, lakini Kwa summary. Mtunzi anatuasa kujenga tabia ya kuwekeza, iwe kwenye real estate ama vyovyote ili ku-generate personal income na kuwa financial Stable katika nyakati zetu za Uzee.Safi mkuuu. Uwe unaweka summary kidogo humu. Kuwasaidia wenye alreagy yakusoma Kama wakina Aaliyyah
Usijali Mjukuu, nitakutumia next week nikimaliza kukisomaNiazime Babu
Usijali Mjukuu, jiandae kukipokea soonNakiomba babu
Mimi sijambo kabisaUsijali Mjukuu, nitakutumia next week nikimaliza kukisoma
Hujambo lakini?
Safi saana mkuu.Hahaha..........nitajitahidi kufanya hivyo next time, lakini Kwa summary. Mtunzi anatuasa kujenga tabia ya kuwekeza, iwe kwenye real estate ama vyovyote ili ku-generate personal income na kuwa financial Stable katika nyakati zetu za Uzee.
Last time niliulizwa na Vijana wangu swali lililoniboa, kwamba kwanini sikuwa na makazi Masaki
Ndiyo kisa cha kuwanunulia hicho Kitabu ili kujibia swali lao
Hao wa 2020 ndiyo watakuwa na nafuu kuliko wale wa 2000, maana Sina hamu nao wale πSafi saana mkuu.
Kimsimgi uwekezaji kwenye real estate ni WA uhakika na huwa haushuki thamani. Vile vile hauna Ile pressure ya usimamizi.
Umri ukishaenda, inakuwa unavuta pesa kiulaini tuu za Ku spend na watoto WA 2020
wapi hapa
Manyara national parkwapi hapa
Sawa nakuja na pilipili yangu na ndizi zangu mbiliπ€£π€£π€£Njoo ule naenda kupika
Usisahau stik kaka.Sawa nakuja na pilipili yangu na ndizi zangu mbili
Curiousππ