Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ko mmepiga dk 90 😹😹
Ushindi wa matuta au umekula mikwaju ya kutosha..!!
😂😂😂 uduguuu, mchana mzima kulilia, fa mchezo.
Machoziii yamekataa na sauti hamna, mie kuguna km mdudu siweziii. Bora match ihairishweee.
😂😂😂
 
😂😂😂 uduguuu, mchana mzima kulilia, fa mchezo.
Machoziii yamekataa na sauti hamna, mie kuguna km mdudu siweziii. Bora match ihairishweee.
😂😂😂
😹😹😹 Ute si umekauka sasa km mambo yenyewe ndo hayo..!!

Ungemshusha kuchanua yeye anachukulia simple 😹😹
 
Eeh da Feli alisema tena akakazia asipodaka apelekewe lindoni..!! 😹😹😹
Apelekwe lindoni kusulubiwaa? 😂😂😂
Ila yule haogopi kuingia anga za mjeda aloo.
Aaah kashazoea kimtindo, si kakulia hapo.
 
Yutiayi ya mafungu 😹😹
Hapo sindano ya ng’ombe labda ndo mgonjwa atapona..!!
Yutiayi ya mafungu? 😂😂😂
Uduguu nakugawaaa bureee, 😂😂😂

Kuna mtoto hapa jirani, juzi kamuambia kaka ake, "wee ndio maana unaachwa na wachumba zako hizo pumbu zako zimekaa kimafungu hajizakamatana."

Nilichekaa, 😂😂😂 yule mtoto sijui analala kitanda ki1 na kaka ake. Ko anamuona. Lol.
 
Back
Top Bottom