Selfika na JF: Snap it. Show it

Ko mmepiga dk 90 😹😹
Ushindi wa matuta au umekula mikwaju ya kutosha..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uduguuu, mchana mzima kulilia, fa mchezo.
Machoziii yamekataa na sauti hamna, mie kuguna km mdudu siweziii. Bora match ihairishweee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uduguuu, mchana mzima kulilia, fa mchezo.
Machoziii yamekataa na sauti hamna, mie kuguna km mdudu siweziii. Bora match ihairishweee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😹😹😹 Ute si umekauka sasa km mambo yenyewe ndo hayo..!!

Ungemshusha kuchanua yeye anachukulia simple 😹😹
 
Eeh da Feli alisema tena akakazia asipodaka apelekewe lindoni..!! 😹😹😹
Apelekwe lindoni kusulubiwaa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila yule haogopi kuingia anga za mjeda aloo.
Aaah kashazoea kimtindo, si kakulia hapo.
 
😹😹😹 Ute si umekauka sasa km mambo yenyewe ndo hayo..!!

Ungemshusha kuchanua yeye anachukulia simple 😹😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wee chizii eti eeeh? Nimecheka km mwehuu.
 
Yutiayi ya mafungu 😹😹
Hapo sindano ya ng’ombe labda ndo mgonjwa atapona..!!
Yutiayi ya mafungu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uduguu nakugawaaa bureee, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna mtoto hapa jirani, juzi kamuambia kaka ake, "wee ndio maana unaachwa na wachumba zako hizo pumbu zako zimekaa kimafungu hajizakamatana."

Nilichekaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yule mtoto sijui analala kitanda ki1 na kaka ake. Ko anamuona. Lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…