mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Unanitesa ujue,😅😅 siasa umeanza wewe kupita Robo mtu
Wewe mwenyewe hujawahi kurusha nzima.
Unanitesa ujue,😅😅 siasa umeanza wewe kupita Robo mtu
😹😹😹Hahaaaa ....
Nimetoa cheko kama la bobby brown katika goma la ja rule THUG LOVIN
Hata kama ila sijakufikia wewe robo kweli fanya namna mnyamweziUnanitesa ujue,
Wewe mwenyewe hujawahi kurusha nzima.
Niko room, umunyu umunyu..Em tupia kwanza nyingine tupo peke yetu maka..!!
Uduguuu hii sauti ni km ya mdada fulani, nilikua nae pale main campus, na yeye alikua anapenda kuimba.😹😹😹
Uzi leo ulikuwa wa moto wakaka wamekiwasha sio pouwa 😹😹😹
Balimi ishapanda kichwani.😹😹😹
Wewe na huyo mdada kila siku unayenifananisha naye kuna kitu 😹😹Uduguuu hii sauti ni km ya mdada fulani, nilikua nae pale main campus, na yeye alikua anapenda kuimba.
Alooo 😂😂😂
Matraco yako 😹Balimi ishapanda kichwani.
😹😹😹
Naruhusiwa kuweka ringtone hii?😹😹😹
Ladies first🌚Hata kama ila sijakufikia wewe robo kweli fanya namna mnyamwezi
Wamekiwasha kwa kuchamba au? 😂😂😂Uzi leo ulikuwa wa moto wakaka wamekiwasha sio pouwa 😹😹😹
Maka sasa kafanya dhambi ya fashooooonn
Kapita naked hafu liko hot mbaya 🔥🔥
Wallah tenaa, hii sauti sio ngeni kabisa masikioni kwangu.Wewe na huyo mdada kila siku unayenifananisha naye kuna kitu 😹😹
Ili ukimbieLadies first🌚
😹😹😹 Simu itazima kwa mshtukoNaruhusiwa kuweka ringtone hii?
Au unaweza ukarusha robo robo zikifika nne naunganisha😅Ili ukimbie