Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Wapi walikosema kidampa na mwanaume?Wamekiwasha kwa kuchamba au? 😂😂😂
Maana huko juu nimeona sijui mwanaume sijui kidampa yanamtoka maneno.
Nikaamua nitazame pages, naona za kishato, afu nimechoka Leo,
Ndio nikauliza, nikajua labda kuna ubuyu wa🔥 umenipita.
Wakaka 🥵 wako huku nje mahii, kunae huyoo huyu ntaweweseka week nzima.
😂😂😂
Huko sijaona, Ila nimeingia nimekuta pics nyingi nimekuhifadhia masijala ujionee..!! 😹😹😹
Leo nilikuwa busy na wakaka tu kwa wadada sijaona maajabu kivile..!!
Em selfika kwanza tutingishe mji