Pinkman
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 712
- 1,571
Endeleeni kutuburudisha.We kaka wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kutuburudisha.We kaka wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fleva zako ni zigani??Fleva zangu tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
NdoivoWarembo waendelee kupost picha zao ni bora sana kuliko za wazungu.
Au unasemaje boss.
Hana tofauti na wale wapaka make upScorpio me kusifiwa kote kule kumbe picha sio wewe daaaah wanaume tunaibiwa kweupe
Aiseee kumekuchwaWarembo waendelee kupost picha zao ni bora sana kuliko za wazungu.
Au unasemaje boss.
Ya kwako ipo humu mzee mama?Toto guu guu, paja paja.!!
😂😂😂😂 unataka kumrithisha mtoto wa watu mikobaNatamani kumhonga kilinge chote na tunguli zake zote
Daah jf hiiNimepitia huu uzi comment moja baada ya moja.
Sikutaka kucomment hadi nilipoona mjadala kuhusu picha zinazosemekana ni mwanadada Scorpio me zikitumika kukandamiza warembo waliopost picha zao huku.
View attachment 1219660
Hii ni picha aliyopost akiwa ufukweni na hapo alipoitoa hiyo picha.
View attachment 1219661View attachment 1219662
Kwa ambao mlikuwa mnashobokea hizi picha huyu mdada sio mtanzania wala sio Mwafrika.
Hivo msikandie vyakwenu kwa kusifia vya kizungu/kiarabu.
Hizo ni picha alizopost Scorpio akisema ndio katoka kuniaje.
View attachment 1219664View attachment 1219665
Hiyo ya miguu haina haja ya maelezo.
Na nyinginezo ni hii View attachment 1219666
Lengo la kusema haya ni kuwakumbusha nyie vijana msidanganywe na rangi utamu wa chai ni sukari.
Msitamani ngozi nyeupe na kuona uafrika ni old skuli.
Dada zangu mnaotuma picha zenu mkiwa mazingira ya Kiafrika msife moyo mpaka sasa picha zenu ni bora kuliko za huyu Mzungu.
Naendelea kufuatilia.
Nakuona nakuonaaBado kidogo tujichomolee mabeterii
Boss unasemaje sasa baada ya kugundua ni ngozi nyeupe uliitumia kukashfu mama zetu na dada zetu na binti zetu wa Kiafrika?Aiseee kumekuchwa
MguuChagua kiungo gani unatakukiona?
Nadhani ulivyosema ulifatilia uzi adi mwisho haikuwa kweliBoss unasemaje sasa baada ya kugundua ni ngozi nyeupe uliitumia kukashfu mama zetu na dada zetu na binti zetu wa Kiafrika?
Haujafikiria kuomba radhi?
Zamaaaani, post No 109 huko!Ya kwako ipo humu mzee mama?
Kabisa jamani.Nimepitia huu uzi comment moja baada ya moja.
Sikutaka kucomment hadi nilipoona mjadala kuhusu picha zinazosemekana ni mwanadada Scorpio me zikitumika kukandamiza warembo waliopost picha zao huku.
View attachment 1219660
Hii ni picha aliyopost akiwa ufukweni na hapo alipoitoa hiyo picha.
View attachment 1219661View attachment 1219662
Kwa ambao mlikuwa mnashobokea hizi picha huyu mdada sio mtanzania wala sio Mwafrika.
Hivo msikandie vyakwenu kwa kusifia vya kizungu/kiarabu.
Hizo ni picha alizopost Scorpio akisema ndio katoka kuniaje.
View attachment 1219664View attachment 1219665
Hiyo ya miguu haina haja ya maelezo.
Na nyinginezo ni hii View attachment 1219666
Lengo la kusema haya ni kuwakumbusha nyie vijana msidanganywe na rangi utamu wa chai ni sukari.
Msitamani ngozi nyeupe na kuona uafrika ni old skuli.
Dada zangu mnaotuma picha zenu mkiwa mazingira ya Kiafrika msife moyo mpaka sasa picha zenu ni bora kuliko za huyu Mzungu.
Naendelea kufuatilia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimepitia huu uzi comment moja baada ya moja.
Sikutaka kucomment hadi nilipoona mjadala kuhusu picha zinazosemekana ni mwanadada Scorpio me zikitumika kukandamiza warembo waliopost picha zao huku.
View attachment 1219660
Hii ni picha aliyopost akiwa ufukweni na hapo alipoitoa hiyo picha.
View attachment 1219661View attachment 1219662
Kwa ambao mlikuwa mnashobokea hizi picha huyu mdada sio mtanzania wala sio Mwafrika.
Hivo msikandie vyakwenu kwa kusifia vya kizungu/kiarabu.
Hizo ni picha alizopost Scorpio akisema ndio katoka kuniaje.
View attachment 1219664View attachment 1219665
Hiyo ya miguu haina haja ya maelezo.
Na nyinginezo ni hii View attachment 1219666
Lengo la kusema haya ni kuwakumbusha nyie vijana msidanganywe na rangi utamu wa chai ni sukari.
Msitamani ngozi nyeupe na kuona uafrika ni old skuli.
Dada zangu mnaotuma picha zenu mkiwa mazingira ya Kiafrika msife moyo mpaka sasa picha zenu ni bora kuliko za huyu Mzungu.
Naendelea kufuatilia.
Makubwa!Nimepitia huu uzi comment moja baada ya moja.

Sijapenda ngozi nyeupe ipaizwe mbele ya dada zetu na mama zetu Waafrika.Daah jf hii
Kwaio mkuu umejiajiri kabisa
[emoji28][emoji28]
Zipi hizo??Ninazo Zote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni nini umeshangaa pakubwa hivyo??Makubwa!
sawa nmeona nadhani uyu mfukua makaburi ameiverifai yakoZamaaaani, post No 109 huko!