Selfika na JF: Snap it. Show it

Daah jf hii
Kwaio mkuu umejiajiri kabisa

[emoji28][emoji28]
 
Boss unasemaje sasa baada ya kugundua ni ngozi nyeupe uliitumia kukashfu mama zetu na dada zetu na binti zetu wa Kiafrika?
Haujafikiria kuomba radhi?
Nadhani ulivyosema ulifatilia uzi adi mwisho haikuwa kweli
 
Kabisa jamani.
Tupende vya kwetu[emoji108]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama kuna watu nawaonaa
 
Makubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…