Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
AarrgghhhhšBinti una mdomo wa kushawishi
AarrgghhhhšBinti una mdomo wa kushawishi
Mama Mio una mimba nyingine uduguu? š¹
Rangi mama rangiHee umeonaješ
Kuna siku utadondoka huko maghorofani kwa watu unakopanda..!! š¹š¹
Sio midomo ya kulia liaAarrgghhhhš
Yaniiii ni kitrambi hiko imagine hapo nishavimbiwa zangu walindondo aaahhhh ššššMama Mio una mimba nyingine uduguu? š¹
Shem apunguze kasi sasa khaaaa..!!
Nna jipya basi sura imenigomea filter nikipost kavu kavu utaweweseka usiku bure..!! š¹š¹Lamomy nimeona kivuli chako uduguu akee! Naomba unibles pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz!!
Wakuu kutoka wapi? Ujinini au kuzimu? š¹š¹Bwashee unataka kugusa wanapo gusa wakuuu
Muongo š¹š¹Yaniiii ni kitrambi hiko imagine hapo nimevimbiwa zangu walindondo mieeešššš
Kugusana mi hapana Nimeomba anibless udugu ake long time nimemiss kumuona.Bwashee unataka kugusa wanapo gusa wakuuu
Weee huoni hapo??? Pamoja na jitihada zakukipunguza kimegoma kabisaa walaiAah wapi hakuna kitambi hapo la mamaš
Filter baba filteršRangi mama rangi
Ya kufanyia niniSio midomo ya kulia lia
Vin ndio ukae kama Unabatizwaš
Si umeona Nishatupia tambi langu hapo lakini????Nna jipya basi sura imenigomea filter nikipost kavu kavu utaweweseka usiku bure..!! š¹š¹
Wewe nifanyie jambo hapa nione hips š»
Mi hilo shepu lako tu linanimaliza. Mtoto Kama umeshushwa..!! šš
Hakuna kitambi hapo, basi tu sina jeuri ya kuanika changu hapašWeee huoni hapo??? Pamoja na jitihada zakukipunguza kimegoma kabisaa walai
Watoto ni baraka wacha tuzae tu walai umri ushakimbia na tumechelewa kuzaa so ni kubemenda kwakwenda mbele!šMuongo š¹š¹
Hiyo mimba bana..!!
Mi nakujua huna kitambi kama hiko..