Aarrgghhhh😖Binti una mdomo wa kushawishi
Mama Mio una mimba nyingine uduguu? 😹
Rangi mama rangiHee umeonaje😆
Kuna siku utadondoka huko maghorofani kwa watu unakopanda..!! 😹😹
Sio midomo ya kulia liaAarrgghhhh😖
Yaniiii ni kitrambi hiko imagine hapo nishavimbiwa zangu walindondo aaahhhh 😄😄😄😄Mama Mio una mimba nyingine uduguu? 😹
Shem apunguze kasi sasa khaaaa..!!
Nna jipya basi sura imenigomea filter nikipost kavu kavu utaweweseka usiku bure..!! 😹😹Lamomy nimeona kivuli chako uduguu akee! Naomba unibles pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz!!
Wakuu kutoka wapi? Ujinini au kuzimu? 😹😹Bwashee unataka kugusa wanapo gusa wakuuu
Muongo 😹😹Yaniiii ni kitrambi hiko imagine hapo nimevimbiwa zangu walindondo mieee😄😄😄😄
Kugusana mi hapana Nimeomba anibless udugu ake long time nimemiss kumuona.Bwashee unataka kugusa wanapo gusa wakuuu
Weee huoni hapo??? Pamoja na jitihada zakukipunguza kimegoma kabisaa walaiAah wapi hakuna kitambi hapo la mama😂
Filter baba filter😂Rangi mama rangi
Ya kufanyia niniSio midomo ya kulia lia
Vin ndio ukae kama Unabatizwa😁
Si umeona Nishatupia tambi langu hapo lakini????Nna jipya basi sura imenigomea filter nikipost kavu kavu utaweweseka usiku bure..!! 😹😹
Wewe nifanyie jambo hapa nione hips 😻
Mi hilo shepu lako tu linanimaliza. Mtoto Kama umeshushwa..!! 😍😍
Hakuna kitambi hapo, basi tu sina jeuri ya kuanika changu hapa😂Weee huoni hapo??? Pamoja na jitihada zakukipunguza kimegoma kabisaa walai
Watoto ni baraka wacha tuzae tu walai umri ushakimbia na tumechelewa kuzaa so ni kubemenda kwakwenda mbele!😄Muongo 😹😹
Hiyo mimba bana..!!
Mi nakujua huna kitambi kama hiko..