Yani unaswim na Tshirt kweli? πΉπΉ
Leo unaniangusha sijui kwanini. ! Vitunguu sijui asali niliacha weehhh nilikua nikitumia nahisi njaa nusura kuzima aaarghhh!!Hakuna kitambi hapo, basi tu sima jeuri ya kuanika changu hapaπ
Nimezoea tukiwa wawili tu bwana weeπLeo unaniangusha sijui kwanini. ! Vitunguu sijui asali niliacha weehhh nilikua nikitumia nahisi njaa nusura kuzima aaarghhh!!
Kudekea tu emb njoo tuanze kujikinga na elninoYa kufanyia nini
Una shingapi?Kudekea tu emb njoo tuanze kujikinga na elnino
Faida sipati mimi tu jitafakari kisha chukua hatuaUna shingapi?
Soon as possibleWakuu kutoka wapi? Ujinini au kuzimu? πΉπΉ
Em tupia pic yako hapa nikuone mkaka mzuri..!!
πΉπΉπΉπΉSi umeona Nishatupia tambi langu hapo lakini????
Weee masta ujue najua huogopi do the needful nakuaminiaa!
Nimecheka kwanguvu hadi watu wananishangaa huku . Uneamua kunivunja mbavu βΊβΊβΊππΉπΉπΉπΉ
Ole wako sasa unicheke View attachment 3672556
Weee akili zako mbili kasoro ujue hahah.. Nimecheka kama chizi!Tayari uduguu πΉ
Kabisaa uduguu π₯°π₯°Watoto ni baraka wacha tuzae tu walai umri ushakimbia na tumechelewa kuzaa so ni kubemenda kwakwenda mbele!π
Nasubiri hapa sitoki mpaka upite PSoon as possible
KAwaida πππVin ndio ukae kama Unabatizwaπ
Shepu natoa wapi miyee camera tu inanijaza uduguu akee!Kabisaa uduguu π₯°π₯°
Huyo wa kike arithi shape lako.!!
Hapo nikiwa maeneo yangu ya kujidaiNasubiri hapa sitoki mpaka upite P
πΉπΉπΉπΉ Nilijua utakumbuka kitu kisha utacheka..!!Nimecheka kwanguvu hadi watu wananishangaa huku . Uneamua kunivunja mbavu βΊβΊβΊπ
πΉπΉπΉπΉ Wig og nitoe wapi nna mikatani yangu hiyo hiyo ya Pony tail..!!Weee akili zako mbili kasoro ujue hahah.. Nimecheka kama chizi!
Tupia nyingine nione wig og n classic basiiii mbona unaniangusha udugu ako na nilivohamu mimii!!
Shepu unalo na chenchi inarudi..!! πShepu natoa wapi miyee camera tu inanijaza uduguu akee!
Leo umedinda kunibles sijapentra!