Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,666
- 11,789
Tulale sasaaaaNyingine nitazijia PM maana mmmh! Wahuni wako macho macho.
Tulale sasaaaaNyingine nitazijia PM maana mmmh! Wahuni wako macho macho.
Alijizolea umaarufu mkubwa...na masista du wengi aliwatembezea sana mkong'oto hapa!cocastic kuna mwamba alikua anamwaga vocha humu nmemsahau handle yake alkua anaitwa nani?
Wanyama gani katikati ya maji?Mno ukienda wa mnyama wanajaa kama nzige
Mida tayariMtumbwi umefika?😆
Kisa vocha?Alijizolea umaarufu mkubwa...na masista du wengi aliwatembezea sana mkong'oto hapa!
Mapema sana!Mida tayari
Hizo picha hata mi zilishanifikia. Inasikitisha!Habari kwa ufupii,
Km unajijua ulikua unajiprosooo na bwana wa JF humu ndani, habarii ikufikie, mwenzio ubuyu kaumwaga kwa wambea na upo km ulivyo. Hadi picha zako za naked kwa juu. Zipoo.
Yaani Ubuyu upo na tunatambaa naoo, kaa kimastaa mwaegoo.
Waleteeeeeeeee katiiiiii!! 😂😂😂
Alamskiiiiii.
Kibatali kimezima utambi umeisha hapa hadi keshoMwenyewe nakusubiri tangu saa 12😎
Vawulensiii!! Mie nimetoa tahadhari, ili akae kwa nywila.Weka hapa selfika kwa faida ya wengi . 😎
😂😂😂 wee ya kweli haya?Alijizolea umaarufu mkubwa...na masista du wengi aliwatembezea sana mkong'oto hapa!
Usiniambie nawee ubuyu huu unao? Jamanii mbona vibaya hiviii.Hizo picha hata mi zilishanifikia. Inasikitisha!
Aisee basi sawaaKibatali kimezima utambi umeisha hapa hadi kesho
Fanya ivo basi ili nilale sasaAisee basi sawaa
Ntakushtua saa nane hivi!Fanya ivo basi ili nilale sasa
Kumbe hapa JF kuna watu wanapeana NUDES?.Vawulensiii!! Mie nimetoa tahadhari, ili akae kwa nywila.
Ni ushauri tu kwake.
Kubabake naisubr hiyo saa nane hapa silali😀Ntakushtua saa nane hivi!
Wanachapana sana misipa humu ila ni kwa wale ambao wanawasiliana nje na hapa kuanzia PM ukoKumbe hapa JF kuna watu wanapeana NUDES?.
Inabidi tuishi vizur na masister duu wa humu au unasemaje spidernyoka ? 😂😂
😂😂😂 kwamba?? Ni wee ndio huna bahati, wenzio wanaoneshwa zivu zivu, laivuuu.Kumbe hapa JF kuna watu wanapeana NUDES?.
Inabidi tuishi vizur na masister duu wa humu au unasemaje spidernyoka ? 😂😂
Si yule jamaa alikuwa akijinasibu ana hela za kwenye madini sijui akaanza kugawa vocha? Na alileta kizaazaa aliposema eti ana mkosi maana kila demu anayemla huyo demu ni lazima afe? 😳😳😂😂😂 wee ya kweli haya?