We kuna bwana mmoja humu mtu mbad sana๐คฃKo hujaizoea selfika? ๐๐๐
A huyo anafanya hivyo? Ndio hao naowasema hapa wapo humu kuchora watu tu, aah.
Rudia tena bhana.
Monk mwenyewe ๐๐ฝ
Humu JF kuna cases nyingi sana, usipo kua makini you can fall into a trap.Yani ile live kabisa naomba ela nimekwamba? Duhh๐คฃ๐คฃ
Dadiiii!! Una viwango vyote vxa kuwa sponsor.
Mh!! Kumbe comment yangu nilipatiaWe kuna bwana mmoja humu mtu mbad sana๐คฃ
Hebu angalia chap kabla ajaenda huko kuniet tuko wote๐
Aisee mimi haijanisumbua sana, ila tangu huyo mpuuzi nmepata funzo kubwa yani sitaki mazoea! Mtu anaweza kuja kama pastor kumbe mshenzi tu๐ฎHumu JF kuna cases nyingi sana, usipo kua makini you can fall into a trap.
PM nahisi humu kua on si jambo la kuwa careless kabisa.
Kama ni mwanaharakati wa kisiasa humu zima kabsa PM mpaka last seen wasione its not safe.
Ujue humu kuna viumbe vingiWee kuna huyo anazibebea hapa anenda kusema alikupiga yeye akhuu๐คฃ๐คฃ
Kwamba??Mh!! Kumbe comment yangu nilipatia
Uko sahihi.Humu JF kuna cases nyingi sana, usipo kua makini you can fall into a trap.
PM nahisi humu kua on si jambo la kuwa careless kabisa.
Kama ni mwanaharakati wa kisiasa humu zima kabsa PM mpaka last seen wasione its not safe.
Watu mnaipa sana umuhimu hiiYaan hajatoka JF. ila katoka uzi wa selfika.
Kuna mtu anaweza kutoka mazima JF? thubutuu.
Baba mpaka wale wapinga kristo kumbe wengi wao ni waganga aisee๐๐พUjue humu kuna viumbe vingi
Aaah wapiii, hapanaa.Watu mnaipa sana umuhimu hii
Nilijua wameondoka mazima Jf
Mimi nawajua watu wa humu tupo watu wa aina nying sana mno na kuna kila aina ya mtu humu mind your stepBaba mpaka wale wapinga kristo kumbe wengi wao ni waganga aisee๐๐พ
Kina infr sio ๐คฃ๐คฃBaba mpaka wale wapinga kristo kumbe wengi wao ni waganga aisee๐๐พ
Psychopaths ndio usipime๐๐พMimi nawajua watu wa humu tupo watu wa aina nying sana mno na kuna kila aina ya mtu humu mind your step
Aaah wapiii, hapanaa.
Wengine wakipigwa ban wanapata had mawazoAaah wapiii, hapanaa.
We muache rafkiangu huyu kuna wapo bwana bwana๐๐ฝโโ๏ธKina infr sio ๐คฃ๐คฃ
Wengine wakipigwa ban wanapata had mawazo
Wengine kutwa kuanzsha nyuz wajulikane au kua na multiple ids