spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Nlkutana na memba humu huko dongobesh ni chiz fresh nkaja kujua ni mwana jf mwishooniPsychopaths ndio usipime🙌🏾
Jamani wagonjwa ni wengi🤦🏽♀️
Nlkutana na memba humu huko dongobesh ni chiz fresh nkaja kujua ni mwana jf mwishooniPsychopaths ndio usipime🙌🏾
Jamani wagonjwa ni wengi🤦🏽♀️
Aisee unakaba mpaka penalt
Sekunde 3 baba nafuta!
Haswa kama umeipa nafasiJF ina uraibu mnoo.
Mali mno hioSeran, hebu weka picha japo nikuone moyo wangu utaridhika. Tafadhali bwana!
Kufahamiana sio shida, ila je unafahamiana na nani? Na kwa lengi gani?Haswa kama umeipa nafasi
Wengine had wanahisi kuumwa wasipoingia
Mimi hakuna mtu nayemjua nje ya hapa so i can stay hata mwez na nsifeel kitu zaid ya ombwe la taarifa
Nlkutana na memba humu huko dongobesh ni chiz fresh nkaja kujua ni mwana jf mwishooni
Sheria ya humu unaanza wewe sio kusubiri watuMbona watu hawaselfik...
Mali mno hio
Kwenye hao kujuana na wema ndo unakua vulnerable sasa kukutana na watu jauKufahamiana sio shida, ila je unafahamiana na nani? Na kwa lengi gani?
Wapo watu wema na wamenyooka humu. Nina shuhuda.
Wewe kupita aaanhhSeran, hebu weka picha japo nikuone moyo wangu utaridhika. Tafadhali bwana!
Sawa ila na mimi umenipata nilimaanisha nini na Ukweli unaendelea kuwa ukweliHizo ni fix tu😅
Oooh! asante mkuu...... haselfik mtu hapa!Sheria ya humu unaanza wewe sio kusubiri watu
Inategemea sasa km uko desperate ndio utakua vulnerable.Kwenye hao kujuana na wema ndo unakua vulnerable sasa kukutana na watu jau
Wewe kupita aaanhh