Selfika na JF: Snap it. Show it

Hujui upumbavu unaoendelea humu mzee baba๐Ÿ˜…
Kuna upuuzi ukiuendekeza humu unachafuliwa sio poa!
Sijui kwanini watu wanakua na flow za namna hii.

Asilimia 99% humu hatujuani haina haja ya baseless accusations.

Kwanini umchafue mtu ilihali humjui wala hata kuwahi kumuona ? Inafikirisha sana.
 
Sijui kwanini watu wanakua na flow za namna hii.

Asilimia 99% humu hatujuani haina haja ya baseless accusations.

Kwanini umchafue mtu ilihali humjui wala hata kuwahi kumuona ? Inafikirisha sana.
Kumuona anaweza akawa amemuona ila kwa nia njema tu ila ukimpa mgongo ndio anashinda pm za watu kuwasimlia anakujua ameshakulomba na bla bla kibao.. naona hajakutana na vichaa hiyo! Atasimlia vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ