spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Ndo naingia sasaKwani umeghairi kuingia mtumbwini jamaniš«¢
Ndo naingia sasaKwani umeghairi kuingia mtumbwini jamaniš«¢
Kweli kabisa nakubaliana na wewe sema baadhi ya watu hawana uelewa huo ndiyo shida inapoanziaUkiwa mtu halisi, subsequently unakuwa huru, unaleta attention kwa watu halisi wenzio na unakuwa umejitendea haki kama binadamu. Kuwa halisi ni namna nyingine ya kujipenda na kujithamini.
JauAweeeee!!! Naijuaa hiyooo ššš
Babaaaiiiš¤£šš¼Ndo naingia sasa
Kula migebukaJamani kwani nna matatizo gani nikila sishibiš¤¦š½āāļø
Naombaa uje ma mchunga, PM yangu iko wazi inasubiri conversation yako kwa hamu na wivu mkubwa.We ht pm nitakufuata usiwaze
šššš eeh acha nikuseme tuUmeanza kunisema šš
Yani hili tumbo linataka kufika wapi kwani? Usikute mwana jf huko anasimlia watu kanimimba mimi huku napata njaašš½āāļøKula migebuka
Hebu ulale sahiii unataka kusemaje?šJamani kwani nna matatizo gani nikila sishibiš¤¦š½āāļø
Leo kwanini hulali?
Nalala sahivi maana nina hasira mnoNaombaa uje ma mchunga, PM yangu iko wazi inasubiri conversation yako kwa hamu na wivu mkubwa.
Usiniangushee.
Mama hebu twende tukafanye maombi tulale! Haya sio mambo yetuššššš eeh acha nikuseme tu
Aisee kuna watu bora ht kijana wa 15
Wakubwa ila hawana akili sijui ndo afya ya akili
Unawaza sasa hawa watu wa Jf mbona mnawapa umuhimuYani hili tumbo linataka kufika wapi kwani? Usikute mwana jf huko anasimlia watu kanimimba mimi huku napata njaašš½āāļø
Yani nishakasirika leo nmekula vitu vingi halafu sasa hivi tumbo linadaiš¤¦š½āāļøHebu ulale sahiii unataka kusemaje?š
Polee Mungu ana watušššš eeh acha nikuseme tu
Aisee kuna watu bora ht kijana wa 15
Wakubwa ila hawana akili sijui ndo afya ya akili
Umekuja huku au umeenda kuleš«¢Leo nimelala mchana, sababu nilikuwa safarini usiku wa jana.
Ili niombe vzr ni mhim kutema nyongoMama hebu twende tukafanye maombi tulale! Haya sio mambo yetuš
Clean nyeupe kama sufiIli niombe vzr ni mhim kutema nyongo
Niende mbele za Mungu clean
Ma mchunga em njoo PM kwanza, ujue nisha chachawa, mie ndio nitakupangia files vizuri, unajua hiyo kazi naiweza na naimudu.Yaani acha nisimalize