Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 775
- 1,712
Tag yako tu just tag is what I need 😊😀😀 sikuhizi nipo busy sana, huu uzi naweza kurudi weekend
Tag yako tu just tag is what I need 😊😀😀 sikuhizi nipo busy sana, huu uzi naweza kurudi weekend
Moto ushaanza kuwakia cabinet 😄😄Issue ni deep👌🏽🤸🏽♀️
Ulitegwa kivipi? Ni kuhusu humu selfika au kule jukwaa la siasa?Mwenyewe sijui nimeona comment nimeshtuka.
Huyu binti aliniokoa, nilitegwa mahali alishtuliwa na mtu naye akanishtua so nataka na mimi kama kuna issue nimsaidie.
Muwe makini humu.
Hahah jamani hebu tulia tupoze mioto siye😁Moto ushaanza kuwakia cabinet 😄😄
Hapana Jooo, umechelewa haujaona totoz.Ile list ya yule mywaji kumbe ilikuwa sahihi binti kiziwi ni mzuri asee 100/100
😀😀😀😀😀😀Mama mtumishi kuna nini tenaa?
Mbona ghaflaa sanaa? Hayaa tuletee huo ubuyuu wambea tusaule saule.
Uzii unataka kuwaka tena, hakuna kupoaaa.
Alooooh, 😂😂😂
😀😀 asante Mkuu una uhakika gani kama sipo kwenye kundi la wapigaji?
😂😂😂 twende mletele.Sasa kwan kibirizi mara peramiho au mfaranyaki nakaa huku milele
Daah jamani mbona watu wa humu wanakuwa hivi???Mwenyewe sijui nimeona comment nimeshtuka.
Huyu binti aliniokoa, nilitegwa mahali alishtuliwa na mtu naye akanishtua so nataka na mimi kama kuna issue nimsaidie.
Muwe makini humu.
Usiwaze kipenziBabes naomba tuongee, tupange mpango kazi.
Uliniokoa kwenye ile issue sitaki kukuacha pekeyako, kama uko tayari tuchat, nipo nasahihisha madaftari na kesho naingia job saa tatu so nina muda.
Unakuja lini sasa? Alooooh kunataka kukucha sasa humu ndanii.😀😀😀😀😀😀
Tuliaa tu nitakuja coca usiwaze
Muache ajichanganye😀Nani?? Usije kuchanganya madesa. Uwiiih
Inasemekana bana kuna kijana aliniweka kwenye target halafu mi kwa uzembe wa kike nikawa namchekea, very naive 🥹 Najua mwana tunakula story kumbe unaambiwa ana ID zaidi ya 10 zote zinakutafuta, chances are usipokuwa makini hata moja inakudaka we si unajua mwana? Halafu anaruka na we jumla jumla.Ulitegwa kivipi? Ni kuhusu humu selfika au kule jukwaa la siasa?
Humu ndani ni kuwa makini, wala sio uongo, mie nawasanua kila siku, ila hawataki kunielewa, nikisema wanakuja na hoja yao ya kila siku kuwa ni homo nawaonea wivu wao.
😂😂😂😂 waache, wakati mbanga za humu karibia 95% nazijua nje ndani.
Lakini tujiulize kidogo anao wasema kaka min me ndo kina nani hao ?
Nikiwaza hilo nachoka kabsa 😅😅🙌🏾.
Inawezekana, mimi huo muda wa kuwa mpigaji sina 😂😂 nipo busy sana kwanza nikijaribu kufanya hivyo nitabambwa mapema sanaWapigaji sio watu halisi, hisia zao zinabadirika hata kupitia maandishi yao na pia hawapo wazi juu ya hisia zao.
Tena badamu batamwagiksUnakuja lini sasa? Alooooh kunataka kukucha sasa humu ndanii.
Woiiiih
😂😂😂
Good girl.Usiwaze kipenzi
NitakuitaUnakuja lini sasa? Alooooh kunataka kukucha sasa humu ndanii.
Woiiiih
😂😂😂