Lakini tujiulize kidogo anao wasema kaka min me ndo kina nani hao ?Mkuu wapo wanaotupiga, lakini Seran , binti kiziwi , Chica Gee ni watu halisi. Wa kutupiga wanajulikana. 😊
Mama mtumishi kuna nini tenaa?🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Nitakuja na risiti kukomesha kuchafuliwa...stay tuned..ni hayo tu...
Nawapenda
Inabidi kesho upite tena ntaweka hapa hema yangu 😉.Nimekuona umewaka mno na hiyo Suti 🔥
Huyu namkumbuka huyuMama mtumishi kuna nini tenaa?
Mbona ghaflaa sanaa? Hayaa tuletee huo ubuyuu wambea tusaule saule.
Uzii unataka kuwaka tena, hakuna kupoaaa.
Alooooh, 😂😂😂
Babes naomba tuongee, tupange mpango kazi.🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️
Nitakuja na risiti kukomesha kuchafuliwa...stay tuned..ni hayo tu...
Nawapenda
Hutak twende majuu tenaThubutuuu, hunipatiii 😂😂😂
Kuna mwenzako anatamani kunilipua, afu bomu ninalo mie, yaan mlipuaji yeye, bomu ninalo mie, wee huogopiii?
😂😂😂
Asante sana ❤️😘Nimekuona Lips nzuri, mwanamke mzuri 🥰😍
Hongera GenZ mnakimbizaaaa
JF Ukiwa serious hasa selfika, kitakulambaa, wee nata na beat tembea mbele mwendo wa ngiri, usigeuke nyuma.Lakini tujiulize kidogo anao wasema kaka min me ndo kina nani hao ?
Nikiwaza hilo nachoka kabsa 😅😅🙌🏾.
Kwani kuna nini tena jamani? 🙆♀️Babes naomba tuongee, tupange mpango kazi.
Uliniokoa kwenye ile issue sitaki kukuacha pekeyako, kama uko tayari tuchat, nipo nasahihisha madaftari na kesho naingia job saa tatu so nina muda.
Nani?? Usije kuchanganya madesa. UwiiihHuyu namkumbuka huyu
Ile list ya yule mywaji kumbe ilikuwa sahihi binti kiziwi ni mzuri asee 100/100
Huyo namkumbuka si dada wa church moro moyaNani?? Usije kuchanganya madesa. Uwiiih
Mwenyewe sijui nimeona comment nimeshtuka.Kwani kuna nini tena jamani? 🙆♀️
binti kiziwi mniachie Z anto spidernyoka tafadhaliMnywaji akinywa anakua sahihi kupita maelezo. We mfuatilie mnywaji kwa umakini, usimpuuze.
Vuta picha ya huyo mwanamke akiwa kwenye mid 20's kushuka alikuwaje!
😂😂😂 wewe tenaa??Hutak twende majuu tena
Issue ni deep👌🏽🤸🏽♀️Babes naomba tuongee, tupange mpango kazi.
Uliniokoa kwenye ile issue sitaki kukuacha pekeyako, kama uko tayari tuchat, nipo nasahihisha madaftari na kesho naingia job saa tatu so nina muda.
😀😀 sikuhizi nipo busy sana, huu uzi naweza kurudi weekendInabidi kesho upite tena ntaweka hapa hema yangu 😉.
Sasa kwan kibirizi mara peramiho au mfaranyaki nakaa huku milele😂😂😂 wewe tenaa??