Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,246
- 6,499
Nimekuta vinotification hapa nikajua picha teletele. Umeanza lini kua na maneno matupu bila pichaAnd that's why niliamua kukaa kimya since then
Watu walinishauri niachane nayo nikaona sio case nikapotezea..
Ila naona still hizi mambo kila baada ya muda zinarudi may be zikitolewa maelezo itasaidia..
Na akili akili za watu wanadhani mi nilipotea humu
Sikupotea, nilikuwa nauguza mzazi mpk anafariki ndo maana sikuwa humu almost a yr ...
Narudi uzi umefungwa๐คทโโ๏ธnapewa story tu ...
Aisee I can't take it anymore
Ila akili za watu wanadhani nilipotea kisa huo upuuzi..
๐๐kumbe mi brand watu wanahangaika
Mimi nilitaka tu uisome mwenyew sina ninaloelewa hapo๐๐ฝโโ๏ธEnhe nipe concept ๐ก
Maybe ni mtu unae penda mtoto kulelewa kwa misingi ya baba ?Mimi nilitaka tu uisome mwenyew sina ninaloelewa hapo๐๐ฝโโ๏ธ
Hapana! Bora nirudi avatar yangu nnayokula kishungi tu๐Maybe ni mtu unae penda mtoto kulelewa kwa misingi ya baba ?
Just a perception ila kwa asilimia ntakua correct ๐
We haya ikipita nakuanzishia uzi๐
Z anto ๐ ๐ ๐
kuna jamaa aliniambia humu yeye ndio producer wa wimbo wa Z anto, nilicheka kinoma, some people are effortlessly funny!
Wee hulali? au ushaanza weekend? Shemej unamhudumia sa ngap ssHapana! Bora nirudi avatar yangu nnayokula kishungi tu๐
Yani nishakasirika leo nmekula vitu vingi halafu sasa hivi tumbo linadai๐คฆ๐ฝโโ๏ธ
Hii ya utapeli hapana labda nitaandika msanii๐Kwamba nimekutapeli au mi msanii? ๐
Maskini ndo nakuja mtandao dadeki ulikata Anyway natumia kiswaswadu siwe9 ku selfkaMzigua_255 mzigula so uselifike kuno
Jamani tumeanza kupangiana mpaka masaa ya kulala? Ila humu ndani mtakuja kututoa roho๐ซข shemeji yako ni mlinzi hapa namhuhudumia akitoka lindoo๐Wee hulali? au ushaanza weekend? Shemej unamhudumia sa ngap ss
Hmm hii ni zaidi ya minyoo aisee๐คฆ๐ฝโโ๏ธTafuna Mebendazole una minyoo wewe! ๐
Wanyooshe!Maskini ndo nakuja mtandao dadeki ulikata Anyway natumia kiswaswadu siwe9 ku selfka
Wakina nan hao?Wanyooshe!
Eka hicho kiuno hapa basiWakina nan hao?
Weweee kiuno tenaEka hicho kiuno hapa basi
Sasa unataka kuweka niniWeweee kiuno tena
Mhmm!! Lini hiyo mbona sikumbuki ndugu investor ๐น๐น๐นWin-one niliona lamomy anamsifia kumbe kweli ni toto nzuri๐๐๐