Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Habari kwa ufupii,

Km unajijua ulikua unajiprosooo na bwana wa JF humu ndani, habarii ikufikie, mwenzio ubuyu kaumwaga kwa wambea na upo km ulivyo. Hadi picha zako za naked kwa juu. Zipoo.

Yaani Ubuyu upo na tunatambaa naoo, kaa kimastaa mwaegoo.

Waleteeeeeeeee katiiiiii!! 😂😂😂
Alamskiiiiii.
😹😹😹😹
Halafu mwenyewe hata hajui maskini anajianika wakati tunamjua in and out 😹😹

JF ya kingese sana nachoka mimi..!!
Na ana mdomo alitema shit sana kwenye uzi mmoja natamani ajae kwenye mfumo wangu..!!
 
Si yule jamaa alikuwa akijinasibu ana hela za kwenye madini sijui akaanza kugawa vocha? Na alileta kizaazaa aliposema eti ana mkosi maana kila demu anayemla huyo demu ni lazima afe? 😳😳
Huyo babu miga bana..!!
Wa vocha ni Mjep bwana ake coca 😹😹😹
 
😂😂😂 sijui wao wanao waamini wanaume wa JF tena wanao fly humu.

Wengi wao wapo kuwachora wanawake tu, wanawatumia then wanamwaga ubuyu na evidence kwa wambea.

Ila huyu member sikutegemea, ni kilaza kiasi hiki, anaonekana yuko intellectual and brilliant, kumbe daah.
Nachoka mie,
Mwenyewe sikutegemea 😥
Sema na mdomo wake lazima niushadadie ubuyu wake, alinichefua kweli kipindi kile..!! 😹😹😹😹

Watu wanaojifanya ma innocent humu ni wauzaji wakuu..!! 😹😹
 
Back
Top Bottom