Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Thubutuuu, hunipatiii ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kuna mwenzako anatamani kunilipua, afu bomu ninalo mie, yaan mlipuaji yeye, bomu ninalo mie, wee huogopiii?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น em nipe hilo bomu nikushikie litakulipukia coca..!!
 
Mama mtumishi kuna nini tenaa?
Mbona ghaflaa sanaa? Hayaa tuletee huo ubuyuu wambea tusaule saule.

Uzii unataka kuwaka tena, hakuna kupoaaa.
Alooooh, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Nimepitwa pitwa vipi kwa wog tena?

Anataka kuchachua uzi tena? Woyoooooo ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Awahi watunza mafile tukiwepo..!!
 
JF Ukiwa serious hasa selfika, kitakulambaa, wee nata na beat tembea mbele mwendo wa ngiri, usigeuke nyuma.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
JF ni kichaka chenye wanyama wakali..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Olu in olu kuna shengesha la mama mchungaji wog limenipita au bado nitulie nijionee..!!
 
Mwenyewe sikutegemea ๐Ÿ˜ฅ
Sema na mdomo wake lazima niushadadie ubuyu wake, alinichefua kweli kipindi kile..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Watu wanaojifanya ma innocent humu ni wauzaji wakuu..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Uduguu, unataka kukiwashaa mapema hivii?
Aaah taratibuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nitakuita
Halafu wanaume wanaokula humu ht hawana kelele ila ambao wamenyimwa ss
Kwanza wabaya
Hela hawana
Bado wanaongea km wanawake au kijana aliyebalehe
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Nani kanyimwa tena?
JF haipoi
 
Majiraniiiiiiiiiiiiiiiiii hukuuuuuuuuuuu!!
Haya ndio mambo nayoyapendaa,
Leteee vituuu ma mchungaaaa!!!

Watu weuweeeeeeeee, watu waleee waleeee.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hivi nimepitwaje uduguu? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Humu jana kuliwaka?
Em nismaraizie kwanza..!!
 
Huyo wige nasikia alikuwa hb la kwenda na kuna pisi alizipiga humu mpaka nyingine anazikataa yeye..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Tena alikua ni davoo wa trucks za kwenda nje ya nchi.
Kawapiga mnoo, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Babu miga igweeeeeee

Aisee babu miga hataki longolongo ni mwendo wa kujisevia Morena kisha anakuja na pic za wahusika nginja nginja..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Uduguu mbona umechachuka sanaa, kulikoniii.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Uduguu shemeji yako Gwapole ananiponda eti najishaua kumbe mbaya..!! Sema hajakosea kapiga mule mule ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wee muache na heka heka take, afu shem nahisi ananichota hivi yuko mambele kwelii?
Maana sielewi elewii.
 
And that's why niliamua kukaa kimya since then
Watu walinishauri niachane nayo nikaona sio case nikapotezea..
Ila naona still hizi mambo kila baada ya muda zinarudi may be zikitolewa maelezo itasaidia..

Na akili akili za watu wanadhani mi nilipotea humu

Sikupotea, nilikuwa nauguza mzazi mpk anafariki ndo maana sikuwa humu almost a yr ...
Narudi uzi umefungwa๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธnapewa story tu ...
Aisee I can't take it anymore

Ila akili za watu wanadhani nilipotea kisa huo upuuzi..

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€kumbe mi brand watu wanahangaika
Watu weuweeee!! Ma mchunga ni brand kubwa JF.
Wee huogopiii?
 
Back
Top Bottom