cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂Babu miga hana kazi mbovu 😹😹😹
😂😂😂Babu miga hana kazi mbovu 😹😹😹
Hapana id yangu ingine ni ile ya sikio la muazini ndo nikafungua hySasa mbona wanaume wanakuomba picha sana kumbe we kidume looh! Id yako nyingine ndio ile unaomba elfu 50 ukafuge vifaranga 10?
Babu miga mbona sio shida zake 😹😹😹Uduguu mbona umechachuka sanaa, kulikoniii.
😂😂😂
😂😂😂 Nina vitu vyangu mie, sio huyo.Hapo coca lazima umnase 😹😹
😹😹😹😹Hafungui hadi unione mie, na humpati bila mie.
Wee haya, 😂😂
Si ndioo, atuletee huo ubuyu tuumumunyee.😹😹😹😹 Nimepitwa pitwa vipi kwa wog tena?
Anataka kuchachua uzi tena? Woyoooooo 😹😹😹😹
Awahi watunza mafile tukiwepo..!!
😂😂😂 noma sanaa.😹😹😹😹 em nipe hilo bomu nikushikie litakulipukia coca..!!
😹😹😹 G ni mjinga mmoja hivi anajifanya anaplay low key.. yupo mambele kweli lakini ni kitengo Huyo..!!😂😂😂 wee muache na heka heka take, afu shem nahisi ananichota hivi yuko mambele kwelii?
Maana sielewi elewii.
😹😹😹 wog kanichekesha hapo kwenye brandWatu weuweeee!! Ma mchunga ni brand kubwa JF.
Wee huogopiii?
😹😹😹😹 Atutajie mwenyewe nna hamu nimjue..!!Mtajee huyo anaekula hana kelele, tumpe maua yakee, alooooh
😂😂😂
😹😹😹 Mzuka umepanda uduguuTaratibu uduguu, usiwe na paparaa, mbona unataka kuunguza sript.
😂😂😂
Pisi kweli.Yani unamuita huyo jamaa ni pisi ya kwendea...
Aisee...
😹😹😹😂😂😂 Nina vitu vyangu mie, sio huyo.
Analeta nusu nusu ananiboa 😹😹Si ndioo, atuletee huo ubuyu tuumumunyee.
😂😂😂
Aanh kumbe! Nikajua pisi kali yako bana😂Huyo ni trible mate wangu nilimuita tuje tuoneshe mavitambi yetu huku kwa kilugha 😁
chukua simu ya mkeo upige pic 😹Nina nokia ya tochi sasa hivi mshikaji wangu, siwezi kula selfie.🤣😂
Duhh kazi unayo!Hapana id yangu ingine ni ile ya sikio la muazini ndo nikafungua hy
Baadae nitakuwekea usijali 😹Akili zako weee mbili kasoro ujue 😹😸
Hebu nione hizo heels kwanza kitambo sana!
Ushapitiwa.Washroom 🥲