Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Ukiwa umeokoka ndio vizur wakat wa elnino uje nikuungamishe kwenye chumba cha kuungama hapa getton kwanguWengine tumeokoka baba, mambo ya kujiongeza hivi hatuvijui🤦🏽♀️
Ukiwa umeokoka ndio vizur wakat wa elnino uje nikuungamishe kwenye chumba cha kuungama hapa getton kwanguWengine tumeokoka baba, mambo ya kujiongeza hivi hatuvijui🤦🏽♀️
Tusije tukaaanza kukupepeea na feni 😄😄😁😄 mimi day one nilipiga nikahisi kama na paa vile baada ya kupelekwa nyumbani kila nikifungua mlango nashindwa nikalala kibarazani baadae ndio akili inarudi ila nilipigwa na hangover moja matata mnoKwanini zinishinde vin?
Sarama rekoYaan sahivi nina mustachii, udevu una undindi, Sheikh kabisaa wa kutoka muscat, oman..
Hujamboo??? 😂😂😂
Getton tena! We baba.. unaanzaje kuniweka geto na huu utu uzima wangu?🙄Ukiwa umeokoka ndio vizur wakat wa elnino uje nikuungamishe kwenye chumba cha kuungama hapa getton kwangu
Yakheeh Sheikh kwemaa?! 😂😂😂Sarama reko
Why always uKwahiyo nawewe unawaamini hao wapuuzi? Hujui akili za gen zero?
Saiz tunawasha vibatali labda kesho mida ya saa 6 ukungu ukitowekaHahaha hizo ndio tunazozitaka😎
Aanh wapi hiki kichwa kingine, yani mpaka nazichanganya na siwehuki!! Tena umenikumbusha nna kajoint kamoja hapa kwenye pochi yangu, kana siku ngoja weekend nikanamna gani! 😎Tusije tukaaanza kukupepeea na feni 😄😄😁😄 mimi day one nilipiga nikahisi kama na paa vile baada ya kupelekwa nyumbani kila nikifungua mlango nashindwa nikalala kibarazani baadae ndio akili inarudi ila nilipigwa na hangover moja matata mno
Mtu mzima dawa nakuungamisha mama paroko wanguGetton tena! We baba.. unaanzaje kuniweka geto na huu utu uzima wangu?🙄
Kabisa unaniuliza huo utoto mimi? Kwani huoni wengine wanaanzishiwa pia, si mtu anatafuta attention kupitia mtu mwingine and thats it hakuna cha maana hapo!Why always u
Hahaha vibatari vilienda na el nino ya miaka ile! Acha kutuchota😃Saiz tunawasha vibatali labda kesho mida ya saa 6 ukungu ukitoweka
Mbona nmetuma mara kibao tu ila unanikataa! Unalazimisha niwe pisi uliyonayo kichwani🤣Tupiamo wewe ulieko daslama tukuone
Maajabu haya kuungamanishana magetoni😆Mtu mzima dawa nakuungamisha mama paroko wangu
Ulipo nipo, nime-selfika kwenye Whatsapp yako angalia...Kivuruge wangu njoo uselfike
Nina nokia ya tochi sasa hivi mshikaji wangu, siwezi kula selfie.🤣😂makaveli10 niaje mshkaji wangu?
Njoo utupie kitambo sijakuona!!
Ule mwanya wako bado unazunguka kwenye kichwa changu..!! 😹😹😹
Ms eyes uliendaga wapi wewe Miss selfika, twiga wetu na wii wangu jamani… 😻😻😻
Aww leo nmekubamba mamaake! That tummy😍😍
Fanya mambo kabla watu hawajaja basi 😉😉Aww leo nmekubamba mamaake! That tummy😍😍
Dakika moja usitoke😬Fanya mambo kabla watu hawajaja basi 😉😉
Sijawahi kukubamba. 😘
Alaaaaah! 😘😘😘😍Dakika moja usitoke😬
Hawatupendi😩Alaaaaah! 😘😘😘😍
Kwanini mnasemwa wakati wazuri sana jamani
Sio kwamba wanawapenda?Hawatupendi😩
nachungulia tu selfka nakutana na pic yako,, yu r so cute😍