Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Mimi nishakugeuza kitambo kupitia imagination yanguTrako tena! Umeliona wapi hata sijageuka vizuriš¤
Mimi nishakugeuza kitambo kupitia imagination yanguTrako tena! Umeliona wapi hata sijageuka vizuriš¤
Mnapata wapi kuku wa kutafuna? Maana sio kwa haya ma broiler!Tule tubaridi twa elnino na kutafuna mapaja ya kuku ni same same
Hivi unawezaje??š¤Mimi nishakugeuza kitambo kupitia imagination yangu
Nimekula mambo yetu yaleššššHukomi tuš¤£
Nisije kubebwa mie kupelekwa ostabei kituoniššUnaogopaje sasaš henu weka vitruuzz
Baby qute. šš
Elewa neno "mapaja" huyo kuku ni kibwagizoMnapata wapi kuku wa kutafuna? Maana sio kwa haya ma broiler!
Yaan sahivi nina mustachii, udevu una undindi, Sheikh kabisaa wa kutoka muscat, oman..Bro kwema?
Hebu weka tena hio picha, utakuta una ndevu hadi mapele ila unafurahi sana kuitwa pisi kali... dah hii dunia hii...
Halafu kila mara nakuomba unazinguaš„²Nimekula mambo yetu yalešššš
Hakuna kitu kama iko banašNisije kubebwa mie kupelekwa ostabei kituonišš
Anza kwa mifano hebuUzi una story huu kuliko kusudio, porojoo nyingii
Utaziweza šššHalafu kila mara nakuomba unazinguaš„²
Wengine tumeokoka baba, mambo ya kujiongeza hivi hatuvijuiš¤¦š½āāļøElewa neno "mapaja" huyo kuku ni kibwagizo
Wenzangu wanashindwa hadi wanakuanzishia uzi hujijui tu wewe ni pisi ya maanaHivi unawezaje??š¤
Hebu pita kwanza tunaongelea sana mate!!
Huyu kipigo nilichompa hadi kukimbia I'd yake kwa muda hawezi kupona kamwee.Hawaiombi hivyo..!!
Kwa taarifa yako coca ni pisi ya kwendea hana hata hizo ndevu unazosema. Acha chuki zako..!!
Selfika yako tuone š¹
Nataka kukupeleka fun city kigambonišNamsikiliza ngoja tuone anasemaje
Vincenzo Jr
Kwanini zinishinde vin?Utaziweza ššš
šššš¹š¹š¹š¹
Ole wako sasa unicheke View attachment 3672556
Kwahiyo nawewe unawaamini hao wapuuzi? Hujui akili za gen zero?Wenzangu wanashindwa hadi wanakuanzishia uzi hujijui tu wewe ni pisi ya maana
Hahaha hizo ndio tunazozitakašHuku kwetu isimikinyi vumbi jingi picha hazitoki vizuri