Una roho mbaya maka ๐น๐นAna nokia 3310, anacheza game la nyoka tu.
alafu mna match balaaaAchana nao. Afya yako ni muhimu kipenzi..!!
Uzuri karma imewarudia tunasonga mbele..!
Mie natumia nokia 1100, yeye anatumia 3310..Una roho mbaya maka ๐น๐น
Em mnunulie mwenzio hata iPhone 16 basi..!
Ni org mnywani hajaenda uturukiNa amebarikiwa sio kidogo toto black blacky mashallaaahhh lips jicho aaaaww!!
Hilo halina ubishi ndiomana wakatuvuruga ili wapate upenyo wa kumdhalilisha asipate mtetezi..!!alafu mna match balaaa
Amen and amen.Achana nao. Afya yako ni muhimu kipenzi..!!
Uzuri karma imewarudia tunasonga mbele..!
Kabiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisssa mnywani! Ushatoka masjid nifanyie wepesi nataka nirare mnywani!Ni org mnywani hajaenda uturuki
Khaaaaaa..!! Maka acha ujinga unafanya nacheka km chizi..!! ๐น๐น๐นMie natumia nokia 1100, yeye anatumia 3310..
Yaani anatumia simu mara 3 ya kwangu chukua 3310 gawa kwa 1100 ๐๐คฃ
SHida yako huniaminigi ๐คฃ๐Khaaaaaa..!! Maka acha ujinga unafanya nacheka km chizi..!! ๐น๐น๐น
Halafu home niko peke yangu leo basi najitisha mwenyewe na hili base..!! ๐น
Combo hii parfect sana ni kama libasegeye na aura!! Uzuri wote ni wazee wa kuflash vitu.Hilo halina ubishi ndiomana wakatuvuruga ili wapate upenyo wa kumdhalilisha asipate mtetezi..!!
Si unakumbuka shengesha tulomfanyia babu miga mpaka akarusha taulo..!! ๐น๐น๐น
Roho iliniuma nilichelewa kuusoma mchezo.
Ukashindwa ufanyeje sasa huku mnywani kule roho yako!! โบโบalafu mna match balaaa
Tatizo hujawahi kuwa serious maka ๐น๐นSHida yako huniaminigi ๐คฃ๐
Naangalia marudio ya world cup nikisubiri mechi ya ChelseaSauwaasauwaa.
Hebu leo tubless basi Cantri ake Lamo tunaharibu uzi kupiga blah blah ujue!
๐น๐น๐น Hivi auntie wangu mshunuu mzima jamani ๐ฅฐCombo hii parfect sana ni kama libasegeye na aura!! Uzuri wote ni wazee wa kuflash vitu.
Mi mwenyewe na jivunia kua na bodyguard kama wewe pembeni
Huwezi amini hapa ndio niko serious.. ๐คฃ๐Tatizo hujawahi kuwa serious maka ๐น๐น
Mlinichanganya nyie!! Hahaha.Ukashindwa ufanyeje sasa huku mnywani kule roho yako!! โบโบ
Chino alikua ananichekesha aiseee..!! ๐น๐น๐นUkashindwa ufanyeje sasa huku mnywani kule roho yako!! โบโบ
Huyo mtoa idea ya kugombana ni nani? Hapo ndio unaogopa kusema, unaacha ndala๐Mimi niogope na nilikuwa katikati yao mpaka yakayamwagwa ya kuyamwagwa UMENISAHAU ๐น๐น๐น
Wote wananijua vizuri siwaogopi..
Sema nini muungano wa wachawi haujawahi kudumu..!!
Mtoa idea ya uchonganishi hajaamini macho yake alivyokwapuliwa bwana ๐น๐น
Mimi na Antonia tupo sana ugomvi wetu ulisukwa na haukuwa wa mboo za kugombania za mafungu..
Hilo halina ubishi ndiomana wakatuvuruga ili wapate upenyo wa kumdhalilisha asipate mtetezi..!!
Si unakumbuka shengesha tulomfanyia babu miga mpaka akarusha taulo..!! ๐น๐น๐น
Roho iliniuma nilichelewa kuusoma mchezo.
Muongo ๐น๐นHuwezi amini hapa ndio niko serious.. ๐คฃ๐