Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukimaanisha kwamba fake p na felista ndio walikutuma ugombane?🤣🤣🤣🤣

Hii kahawa hapana asee hapa umetupiga changa la macho
Unanichosha kujieleza, katafute nyuzi walizokuwa wanagombana kuna sehemu feli alifunguka yote..!!
 
Umeamua ujilipuwe leo 😹😹
Naomba saa na Tshirt
Msaa flan hivi wa buku jero🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20260918-221639~2.jpg
 
Wog nataka ukija na shengesha lako naomba unitajie na huyo kichaa aliyekufata kukuulizia taarifa zangu nimsuuze hapa hapa sitaki kukaa na viporo..!!
Ooooh kumekuchaa, kuna nini humu ndanii.
😂😂😂😂
 
Badooo, jana ilikua trailer

😂😂😂
Umefika 😹😹😹

Mi naona wog anatishia nyau.

Nimemwambia anitajie waliyenijadili na babu miga anaruka ruka..!! Nataka nimuanzishie shuhuli ili amalize..!!
 
Ukashindwa kuchagua upande 😹😹

Sema nilikuelewa bana chino.!!
Mimi hua sio snitch! Hua nalinda kile kilichopo baina yetu.( Kama hutujawahi vunjiana heshima why nisikilize watu wanasema nini. Ndiomana nikasema huyu Mahondaw dunia nzima ya jf imemgeuka ila Mimi naheshimu kile kilichopo baina yetu same apply to you siwezi kukugeuka.

Ukiwa mwanaume na hauna msimamo jua Kuna shida.
 
Back
Top Bottom