cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Mlongoo, mbona km wewe sio mpya hapa ndani, em nisanue kwa code, ni nani hapo zamani?Habari za mashengesha mie no,Huwa nawa enjoy tu😁
Vocha alikuwa tajeer humu anagawa vocha,,si unajua raia wakamfanyia figisu mara chambo maneno tele,,wanaume wenzie walikuwa wanamuonea wivu🙌
😂😂😂