Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹
Ana moyo mdogo sana, halafu mtu anayemuumiza kichwa eti miga 😹😹😹

Nimemwambia achana naye yule kichaa mwenzio..! Halafu kumbe yupo ana id mpya inajiachia kwa raha zake humu..!! 😹😹😹

Bila yeye kunisanua nisingemjua 😹
Wog mpole kama tinslay.
 
Mimi hua sio snitch! Hua nalinda kile kilichopo baina yetu.( Kama hutujawahi vunjiana heshima why nisikilize watu wanasema nini. Ndiomana nikasema huyu Mahondaw dunia nzima ya jf imemgeuka ila Mimi naheshimu kile kilichopo baina yetu same apply to you siwezi kukugeuka.

Ukiwa mwanaume na hauna msimamo jua Kuna shida.
Chino hii nimeipenda, kwa kweli.
 
Mio anakupenda sijui kipi huwa kinamfanya akusaliti..!! 😥
Nature yao inaruhusu na yuko fit kila idara nguvu anazo resource anazo yani akikukamata huchomoki kirahisi. Afu Wanaume wengi do cheat mbona.
 
😹😹😹
Ana moyo mdogo sana, halafu mtu anayemuumiza kichwa eti miga 😹😹😹

Nimemwambia achana naye yule kichaa mwenzio..! Halafu kumbe yupo ana id mpya inajiachia kwa raha zake humu..!! 😹😹😹

Bila yeye kunisanua nisingemjua 😹
😂😂😂😂
 
Apotezee tu asijiumize moyo kwani ni mambo za longi time !!
 
Nature yao inaruhusu na yuko fit kila idara nguvu anazo resource anazo yani akikukamata huchomoki kirahisi. Afu Wanaume wengi do cheat mbona.
Hizo nguvu azitumie kwako bana, mi hapo shem ananiudhi anatupa kazi kuwachamba michepuko yake..!! 😹😹😹
 
Back
Top Bottom