Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น ukute katulia anatusoma, wog namjua muoga muoga..!!
Anaua brand sasa, haoni wenzake kila sokomoko linalotupata bado tuko nginja nginja.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Babu miga yupo udugu na anatamba kama sio yeye ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kuna uzi alinikomalia kweli wog alivyonitonya acha nicheke..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Anaua brand sasa, haoni wenzake kila sokomoko linalotupata bado tuko nginja nginja.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Tustaafu uduguu, tatizo wa kuwapa kijiti hawaonekani..!! Wote bado hawaja qualify mashengesha yetu..!!
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Tustaafu uduguu, tatizo wa kuwapa kijiti hawaonekani..!! Wote bado hawaja qualify mashengesha yetu..!!
Haswaaa!! Hawapo maana wanaacha ndala mapema sana.
 
Ana Nguvu nyingi sana pekeangu ataniua wacha asambaze upendo! Try him ujionee !!!!โ˜บ
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Wewe ndo mwenyewe tandam hapo unafit unaachaje wengine wakusaidie?
 
Na sie na ban ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Halafu ule ugomvi tulivyoushadadia mpaka watu wakamwagika bila kupenda..!!
Sisi kazi yetu ni kuchochea ili files zimwagike waziii.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tunaiweza na tunaimudu.
 
Haswaaa!! Hawapo maana wanaacha ndala mapema sana.
Mi nilitaka kumpa kijiti Wog lakini Wog mwenyewe kakimbia ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Wewe mpe haszu kijiti mimi nimpe de gunner jukwaa lisipoe..! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Sisi kazi yetu ni kuchochea ili files zimwagike waziii.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tunaiweza na tunaimudu.
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Siku hizi zinashuka zenyewe sisi kazi yetu ni kuweka mzigo mezani hatuhitaji cross examination kwa mashahidi..!!
 
Back
Top Bottom