Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
cocastic pisi kali.Gen z Gani sasa? Nilishamuweka kwa Gen z mmoja humu kabinti kadogo dogo kabisa kanaitwa miss eyez, ila wakashindwana.
Baada ya muda nikaona anaimendea mishangazi humu akawa anamtaka antonia, mara fake p, mara lamomy, mara tayana wog, yaani akawa haeleweki, mara akataka kuhamia upande wa pili(ule wa kina coca). Hapo ndio nilipoona huyu dogo sasa anaenda siko, ndio nikaamua atulie hapo kwako.
Naomba umvumilie nitaongea nae Leo kiutu uzima nijue tatizo
Jana nimekesha kuwachefua kwenye uzi wao mpaka nimechelewa kuamka na dada kasafiri na nyumba chafu…!!Nawaonea hadi huruma kwenda kuwachefua, naona kama vile NAMSIMANGA YATIMA 😂🤣
Usimfanyie hivo mnywani sera.We chino mi ni mzee wa kanisa huku staki skendo niache😂
1000%.Una uhakika?? 😂😂😂
Dah mzee kwa miss eyes ulinifanyia roho mbaya sana 😬 yule ndo alikua love of my life 😁🏃🏽♂️Gen z Gani sasa? Nilishamuweka kwa Gen z mmoja humu kabinti kadogo dogo kabisa kanaitwa miss eyez, ila wakashindwana.
Baada ya muda nikaona anaimendea mishangazi humu akawa anamtaka antonia, mara fake p, mara lamomy, mara tayana wog, yaani akawa haeleweki, mara akataka kuhamia upande wa pili(ule wa kina coca). Hapo ndio nilipoona huyu dogo sasa anaenda siko, ndio nikaamua atulie hapo kwako.
Naomba umvumilie nitaongea nae Leo kiutu uzima nijue tatizo
We chino ni tapeli nakwambiaUsimfanyie hivo mnywani sera.
Hamna lamama chino bonge moja la mzungu !We chino ni tapeli nakwambia
Ngoja aje ajitetee na pic😎Hamna lamama chino bonge la mzungu !