Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Ilikuwsje tena mbona mlikua mnaenda vizuri tu? Naomba usimfanyie hivyo banaTulishindwana unajua eenh? Haya niondoe hapo😎
Daah huyu dogo sijui nimsaidie vipi asee
Ilikuwsje tena mbona mlikua mnaenda vizuri tu? Naomba usimfanyie hivyo banaTulishindwana unajua eenh? Haya niondoe hapo😎
Hanitaki anataka gen z eti!Ilikuwsje tena mbona mlikua mnaenda vizuri tu? Naomba usimfanyie hivyo bana
Daah huyu dogo sijui nimsaidie vipi asee
Hapana.Mmmh ngoja kwanza, ni kwamba Lamomy na Antonnia leo hii ni marafiki? Au mm ndio sijaelewa?
😹😹😹
Gen z Gani sasa? Nilishamuweka kwa Gen z mmoja humu kabinti kadogo dogo kabisa kanaitwa miss eyez, ila wakashindwana.Hanitaki anataka gen z eti!
Hapo sawaHapana.
Roho mbaya itakuuaHapo sawa
Kama mmeamua hivyo sawa pia🙏Roho mbaya itakuua
Wachawi tumewajua walivyo wapumbavu kama shangazi zao wakaishia kuzungukana na kuporana mboo za JF..!! Aibu yao. Wape salamuKama mmeamua hivyo sawa pia🙏
Acha uchochezi sio mzuri.Kama mmeamua hivyo sawa pia🙏
Mmmh toka lini umeanza uoga wa kuandika mafumbo? Hebu weka samareee vizuri, kina nani hao🤣🤣Wachawi tumewajua walivyo wapumbavu kama shangazi zao wakaishia kuzungukana na kuporana mboo za JF..!! Aibu yao. Wape salamu
Kuna kitu kinaendelea , naombeni samaree sasa nielewe🤣🤣Acha uchochezi!
Wewe bado hatujakutafutia skendo humu?😅😅
Ankal nipewe umbea huo sio wanaumiliki peke yao..!! 😹😹😹Ila ankal...❗🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙆🏿♂🏃🏿
😀😀😀 skendo tena 😩Wewe bado hatujakutafutia skendo humu?😅😅
Kamati ya roho mbaya siku hizi imepoa sana😅
Parody lako ni lipi kwanza make weee selfika panapofuka moshi ndo unajitokezaga as Lamomy is concerned.Kuna kitu kinaendelea , naombeni samaree sasa nielewe🤣🤣
Ile kamati ikikaa unafikiri inajali? Basi tu siku hizi imepoa😅😀😀😀 skendo tena 😩
nikikumbuka hekaheka za Huu Uzi …
Duuuh basi hatari 😀😀😀Ile kamati ikikaa unafikiri inajali? Basi tu siku hizi imepoa😅