MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Mshahara tayari au upo bize kwenye Uzi wa mshahara,,,Do the needful, siunajua furaha yangu nikuona maua mazuri.
Mshahara tayari au upo bize kwenye Uzi wa mshahara,,,Do the needful, siunajua furaha yangu nikuona maua mazuri.
Bado, ndio maana nimeomba kaselfie nijiliwaze. Angalia namna ma mtu.Mshahara tayari au upo bize kwenye Uzi wa mshahara,,,
Kwahiyo hatuli urojo😥Bado, ndio maana nimeomba kaselfie nijiliwaze. Angalia namna ma mtu.
Nimeibahatisha kipenzi, kifua saa sita, hips za kuchana suruali kabisaa. Unataka ukale wapi urojo my sweet pieKwahiyo hatuli urojo😥
Nimecheka Hadi kulia😁,usiwe hivyo bhana.Nimeibahatisha kipenzi, kifua saa sita, hips za kuchana suruali kabisaa. Unataka ukale wapi urojo my sweet pie
Napenda sana hizi view😍
Umeona ofisi yanguNapenda sana hizi view😍
Nimeona naomba kibarua🙄Umeona ofisi yangu
Unaweza kupiga kasiaNimeona naomba kibarua🙄
NdioUnaweza kupiga kasia
Sawa andaaa nguvuNdio
Napenda sana wallah.Napenda sana hizi view😍
Upo ziwani😎Hii kama yangu
bado tupo pwani ya ziwa tunaanda nyavuUpo ziwani😎
KAZI njema,kapambane na chunusi😎bado tupo pwani ya ziwa tunaanda nyavu
Anko ulikuwa unavaa michano🔥,Na shangazi yenu miaka 9 nyumaa.View attachment 3675957
Hiyo ilikuwa imechanika kwenye harakati nikaishi nayo.Anko ulikuwa unavaa michano🔥,
Tuma moja ya kuchangamsha gengeKumbe kijiwe kimerudi