MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Oooh,msalimie aunt mremboπ₯°.Hiyo ilikuwa imechanika kwenye harakati nikaishi nayo.
Subiri migebuka tuNachanganya na la nani tenaπ
Sawa usisahau..Subiri migebuka tu
SiweziSawa usisahau..
Ulale unono!Siwezi
Nibless tu hapoUlale unono!
Leo naumwa acha tu!Nibless tu hapo
So migebuka hautawezanaLeo naumwa acha tu!
Poleee sana ningekua kilingeni ningekuaguaLeo naumwa acha tu!
Asante sana wasiliana na babu afanye jambo!Poleee sana ningekua kilingeni ningekuagua
QRAsante sana wasiliana na babu afanye jambo!
Hata asipokubali namngβangβania πHuwa anazinguaga wengine kuwashika mkono, ila kwako naamini atakubaliπ
Country ni mbea tu lakini sio Muongo πUsimkize anakudanganya, mi mabovu napigwa na vumbi tu hapa Congo πΉπΉπΉ
Selfika wamelalaCountry ni mbea tu lakini sio Muongo π
Ni mtu anayetoa taarifa ya kweli ambayo haikuwa lazima kuitoa π
Weee humu tunaombana picha tunaojuana (wana hili jukwaa) Wewe ni yupi? π€£ Au wasiojulikanaSelfika wamelala
Nami mwanajukwaa najulikana usinitenge au ni la wakongwe tu hili jukwaa??Weee humu tunaombana picha tunaojuana (wana hili jukwaa) Wewe ni yupi? π€£ Au wasiojulikana
Tutakufatilia πππNami mwanajukwaa najulikana usinitenge au ni la wakongwe tu hili jukwaa??
Uliza kiatuπTutakufatilia πππView attachment 3676023
Kantry kanifanya nionekane nna pesa humu wakati ni uongo mtupuuu..!! Nimechalala πΉπΉCountry ni mbea tu lakini sio Muongo π
Ni mtu anayetoa taarifa ya kweli ambayo haikuwa lazima kuitoa π
Igweeeeeeeee πππTutakufatilia πππView attachment 3676023