Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahsante sana, uzuri kumbe mifano unayo. Huyu huwa anajifanyisha hivi ili kukwepa kusaidia mtu ambaye serious anahitaji support flani au kushikwa mkono.
Wapo wengi humu ….

Sababu yako wewe ndio nikaona niandike ukweli ili siku ukiamua upite hiyo njia alafu akizingua basi ujue tu rmekufanyia roho mbaya. Lakini nina uhakika kwako hawezi chomoa
Huna deni kama mama yenu πŸ˜‚πŸ˜©
Sasa hivi umri inabidi mambo mengi ya hovyo niweke kando, nina forty now so lazima nibadilike zaidiπŸ™
Awesome πŸ‘πŸ»
 
Sitaki kuamini umeokotwa na maneno ya huyu tapeli..!! 😹
 
Pumzika list iwe ya wazito huenda nikaachana na uwinga..!! 😹
Kichwa kilikua kizito, hapa nishaamka nipige hdta push mbili tatu nioge alafu nije kwenye jambo lako, mwaga moto kama dragonπŸ”₯πŸ”₯
 
Pole! Nimekuvua nguo boss kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…