binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Mbingu na ardhi mwenetu π Ndio kwanza nawaza ramani ya ghorofa miaka kumi ijayo labda π€£Mate tuko pamoja wala usiwaze πΉ
Naomba lift bffSasa hivi nilishatoka huko niko na mjerumani πΉ
Huyu tajiri ana manbo mengi sana, ndio maana nikakuambia pale kwa Tayana ndio penyewe. Binti wa watu hata magari haitaji,We sio level zangu bhana, haiwezekan tukutane mimi napaki kimkweche af wewe unapack ndinga. Nshazoea choka mbaya wenzangu tukiwa tunatoka date wanakaa siti ya kushoto hao safari na muziki π Countrywide njo ufunge hiki kikao
πΉπΉπΉ Tumalize na jambo la kwanza ndo tuingie lingine..!!Usiwe na haraka, wewe tulia mm ndio sterling I know what I do. Tulia, ngoja kwanza tumalize kujadili hii Mercedes maana umenivuruga kabisaπ
Yaah miaka mitatu sio mingi, Hilo niachie Mimi huyu hachomoi.Amesikia, bado miaka mitatu mbele tuvute subira na Mungu amuweke inshallah.
Yani nacheka mpaka machozi πΉπΉπΉCountry unanipambania sana, sitakusahau hata ya soda tu ππππ
Kesho nikiwa na ile simu nyingine nitakuonyesha hata upande wa hilo ghorofa. Nakuahidi hili, lengo ni kuwa tu inspired na ashike mkono mates wenzie πMbingu na ardhi mwenetu π Ndio kwanza nawaza ramani ya ghorofa miaka kumi ijayo labda π€£
Basi nitaligawa tutumie lako πΉπΉWe sio level zangu bhana, haiwezekan tukutane mimi napaki kimkweche af wewe unapack ndinga. Nshazoea choka mbaya wenzangu tukiwa tunatoka date wanakaa siti ya kushoto hao safari na muziki π Countrywide njo ufunge hiki kikao
Jambo lipo ila ngoja kwanza tukujadiliπππΉπΉπΉ Tumalize na jambo la kwanza ndo tuingie lingine..!!
Tayana anachelewa, utampa mwingine akija.
Sasa hivi niweke hapo kwa Mfalme wetu..!!
Inshallah in Jesus name πAmesikia, bado miaka mitatu mbele tuvute subira na Mungu amuweke inshallah.
Usije ukamzingua bana, huyu Binti kiziwi mm namuwekea dhamanaInshallah in Jesus name π
Sikupingi mkuu wangu, mimi na Tayana mpaka kifo kitufurumushe πHuyu tajiri ana manbo mengi sana, ndio maana nikakuambia pale kwa Tayana ndio penyewe. Binti wa watu hata magari haitaji,
Hawa kina lamomy bila kuwafata na mabenz au ma range inakua unapoteza muda. Wewe palepale tulia
Mungu, Mungu wake ambariki..!! πΉDah kweli siku hazigandi aseeπ€£π€£
Tayana yupo kwenye maombi(mfungo) jumamosi anamaliza kwa hiyo vumilia mkuuSikupingi mkuu wangu, mimi na Tayana mpaka kifo kitufurumushe π
πΉπΉπΉ Mi nimeokoteza pic tu sio mimi huyo..!!Mbingu na ardhi mwenetu π Ndio kwanza nawaza ramani ya ghorofa miaka kumi ijayo labda π€£
Njoo nikupe funguo ujiendeshe bff wangu πNaomba lift bff
Ushazoea Benz bhana langu hutaliweza, nina ki BMW cha mchongo huwa nakitumia nikija Dar tu nikiondoka nakiacha ππBasi nitaligawa tutumie lako πΉπΉ
Unaanza kuharibu, mi niweke hapo..!!Huyu tajiri ana manbo mengi sana, ndio maana nikakuambia pale kwa Tayana ndio penyewe. Binti wa watu hata magari haitaji,
Hawa kina lamomy bila kuwafata na mabenz au ma range inakua unapoteza muda. Wewe palepale tulia
Siku zinakimbia asee, hivi Jay si atakua form 4?Mungu, Mungu wake ambariki..!! πΉ
Vijora vimekuwa handbags πΉπΉYaah miaka mitatu sio mingi, Hilo niachie Mimi huyu hachomoi.
Hawa ndio wameshika kkoo kwenye biashara za handbags na hizo high heels zenu