Selfika na JF: Snap it. Show it

Boss, hauwezi kupambanisha vitu viwili ambavo ni tofauti kabisa.
Hauwezi kumpambanisha mzungu na mwafrika hata siku moja ili kujua yupi ni mzuri au yupi ni mbaya.
Ukoloni umeshaisha ila inaonekana akili yako umegoma kuitoa kwenye utumwa.
Nakukumbusha., ili kufanya comparison tafuta vitu vyenye sifa moja, mzungu kwa mzungu, mwafrika kwa mwafrika unless unaniambia wazungu ni wazuri kuliko waafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…