MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
tajiri tajiri nakuita mara tatu πUsijali limeisha hilo, si bureau si zipo huko?
πΉπΉπΉπΉnasemajeeee, nshabadili maamuzi aisee π
fungua ako kakufuli basi tajiri yangu wa mwaka wa mbeleπ₯π₯
πΉπΉπΉtajiri tajiri nakuita mara tatu π
huku hamna haja ya bureau doo zinatumika kama zilivo π₯π₯
Mkuu kumbe ni kijana mdogo kiasi hichi ?
Aisee ukasubiri nilale si ndioπ₯²
Siku ukiona umechoka Umiss unaenda zako kujitafutia mwili wako safi kabisa ukilud mjini utaenda Gym kuupanga sasaππKaaaah! huko siyo kwa kwenda kuishi ππ
Kuna vitu nasaka mimi nilishapita page za katikati hukoUnacheka nini Mtoto halali na hela hebu pita kidogo nawewe uache kuchungulia tuπ
2011 hiyo mzeeπsalute kwako dunia umeilaNdio town pale, mtaa wa NK club. Sasa mie sikuishi Dodoma, ila kwa ujana mkali wa enzi hizo, nilikuwa natoka Dar weekend naenda kula bata Dom na kijiji. Kuna shemeji yako alikuwa anasoma St. John University kule.
Basi hapo Jamatini, kuna hotel ipo ghorofani hivi, nilienda na kijiji hapo kikaagiza vya kuagiza. Bili ilikuja mara mbili ya pesa niliyokadiria na sikua nayo! π
Unasaka nini? Hebu nitag ulikopita nijionee uumbaji mieπKuna vitu nasaka mimi nilishapita page za katikati huko
Kwahiyo ukafanyaje we jamaaπ€£Ndio town pale, mtaa wa NK club. Sasa mie sikuishi Dodoma, ila kwa ujana mkali wa enzi hizo, nilikuwa natoka Dar weekend naenda kula bata Dom na kijiji. Kuna shemeji yako alikuwa anasoma St. John University kule.
Basi hapo Jamatini, kuna hotel ipo ghorofani hivi, nilienda na kijiji hapo kikaagiza vya kuagiza. Bili ilikuja mara mbili ya pesa niliyokadiria na sikua nayo! π
Kidume hakina uumbaji kama kina Seran
Unaskaa nini? Hebu nitag ulikopita nijionee uumbaji mieπ
Unikumbuke na mimiSasa itabidi nije inbox mambo yashakuwa mengi we kila saa unapitwa bwana! ππ
Kwann umefuta sasaMi tayari nafuta unazurura mnoo
Usijali kuna wale watunza masjala omba tu watakuoneshaKwann umefuta sasa
Nionyeshe basiUsijali kuna wale watunza masjala omba tu watakuonesha