binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Na we ni vitu vyangu kwangu kwahiyo x na x inakatika πWe sio mfupi we vitu vyangu kabisaa
Woiiiiii!! Kweli umerefuka, na umenenepa sana.
KwishaNa we ni vitu vyangu kwangu kwahiyo x na x inakatika π
Na hio sio ya sasa saivi npo kama chivayoWoiiiiii!! Kweli umerefuka, na umenenepa sana.
Hongeraaa, sasa sahivi umenenepa umekosa vigezo vya kuwa vitu vyangu, mie nataka slim.
ππππ
AmeeennnDamu ya Yesu ilinilinda kweli
Nimeamka salama salimiπ
Kwa ile picha yako dear umekaa kwa sofa, wee sio mfupi hata, niamini mie.Mi mfupi so watu wengi nawaona warefu kwangu πππ
Udugu sababisha nimefika..!! πBaadae!! Niko hapa kwa ajiri yako.
πππ
Spider mie sitaki, nimecheka km mwehu, ππππNa hio sio ya sasa saivi npo kama chivayo
Nashindwa kwelewa (kwa sauti ya mchina)Kwa ile picha yako dear umekaa kwa sofa, wee sio mfupi hata, niamini mie.
Mate kuna pilau linanukia wewe na spider nianze kuandaa vijora vya sare..!! πΉNever, mi na wewe hatujawahi kushindwanaβ¦.
Yatakushinda mate ππππMate kuna pilau linanukia wewe na spider nianze kuandaa vijora vya sare..!! πΉ
Jana ukanikimbiaNashindwa kwelewa (kwa sauti ya mchina)
Ya nini ufe na tai shingoni udugu wangu na vitu vyako unavijua khaaaaa..!! πΉπΉπΉThe Ghost Writer huyo ndio vitu vyangu.
Muambie aweke picha umuone hapo.
Ni π₯π₯π₯
Nkitoka ziwani tu baas tunamalizaYatakushinda mate ππππ
Huyu kijana kawahiwa ila basi tu wanaume hawajui kutulia π€£
Leo uhakika tulia!Jana ukanikimbia
Watuache tulio single, wenye mahusiano yao wapite hatutaki shengesha la malalamiko ya kuibiwa bwana hapa..!! πΉUnaonaaa! Huu uzi wa watu single ninyi double mtasababisha maafa.
Ila kweli umemponda spider, mbona nilimuona mrefu?Utamuona ni vitu vyangu haswaa, shida ya Spider, ni mfupi.
Vingine vyote yuko fresh, ila huo ufupi wake, πππ
Ni zamani kumbe sio sasa, karefuka na kanenepa.Ila kweli umemponda spider, mbona nilimuona mrefu?