binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Enheee jamani hatari lakini salama 😌🥰
Enheee jamani hatari lakini salama 😌🥰
Hatari ipo jukwaa la siasa tu hapa ni salamaEnheee jamani hatari lakini salama 😌🥰
Hebu pita chapEnheee jamani hatari lakini salama 😌🥰
Hatutaki zipigwe watu tuna amani kila siku sherehe 💃🏻💃🏻😂Watuache tulio single, wenye mahusiano yao wapite hatutaki shengesha la malalamiko ya kuibiwa bwana hapa..!! 😹
Zamu yako!Hebu pita chap
Nilikatiza chapZamu yako!
😂😂😂 kwa kwelii.Hapa wachawi wengi wataiba nyota sura no 🤣🤣🤣
Anasave picha sjui apelek wapiHapa wachawi wengi wataiba nyota sura no 🤣🤣🤣
MarafikiJamani Hivi mtu mlikua kwenye mahusiano ya kimapenzi, na mka treatiana km wapenzi, ila hamkufanikiwa kufanya ngono/sex, na mkaachana, je mnakua ma ex au nini? Mwenzenu sielewi nachoka tu
Aaaah!!
Aaah kumbe?Marafiki
Nilikwambia jana ilikua ya mwisho maa karibu kwenye uzi tukamjadili NyerereAmeeennn
Haya chap chap pita tumuenzi babu Julius 😹
Tusamehe mahi🤓Nilivyolala ndo mkapita 😹kimya kimya
Baadaye utaweka tena, pita sasa hivi uzi u shine na rangi ya umanga manga..!! 😍Si baadae jamanii uduguu, now macho mengi. 😂😂😂
Pita 😹Nipite naked ?🤣
Tupe ya mwaka huuIle ni mwaka jana npo mjini
Sio kibongo Bongo wewe 🤣🤣🤣Marafiki
Mbona nishapita huko juuPita 😹
Sijaona, arudieKatupia na Leo tenaa.
Maadui kabisa hivi mahusiano ya Kibongo unayajua wewe ? Hapo ni uadui mwanzo mwisho 🤣Jamani Hivi mtu mlikua kwenye mahusiano ya kimapenzi, na mka treatiana km wapenzi, ila hamkufanikiwa kufanya ngono/sex, na mkaachana, je mnakua ma ex au nini? Mwenzenu sielewi nachoka tu
Aaaah!!