cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂😂Maadui kabisa hivi mahusiano ya Kibongo unayajua wewe ? Hapo ni uadui mwanzo mwisho 🤣
😂😂😂😂Maadui kabisa hivi mahusiano ya Kibongo unayajua wewe ? Hapo ni uadui mwanzo mwisho 🤣
Kwa kweli arudie.Sijaona, arudie
😳 Alooooh!!
😂😂😂😂 u manga niutoe wapii udugu?Baadaye utaweka tena, pita sasa hivi uzi u shine na rangi ya umanga manga..!! 😍
😹😹😹 hapo chacha!!Na akuje tu hapa kwa kweli, 😂😂😂
Yaan yuko km Black Americans, alooooh
😂😂😂😹😹😹 hapo chacha!!
Aje tuangalie uumbaji..!!
Hatutaki vurugu na mademu zenu 😹😹Huko ni kututenga
Kwanza sisi tukiwakwapulia hatuwarudishii ndo baba Jane bye bye mpaka tuwafukuze sisi..!! 😹😹😹Hatutaki zipigwe watu tuna amani kila siku sherehe 💃🏻💃🏻😂
Mnakuwa watu mliowahi kufahamiana tu.Jamani Hivi mtu mlikua kwenye mahusiano ya kimapenzi, na mka treatiana km wapenzi, ila hamkufanikiwa kufanya ngono/sex, na mkaachana, je mnakua ma ex au nini? Mwenzenu sielewi nachoka tu
Aaaah!!
😹😹😹 Hapo hata mi sielewi..!!Jamani Hivi mtu mlikua kwenye mahusiano ya kimapenzi, na mka treatiana km wapenzi, ila hamkufanikiwa kufanya ngono/sex, na mkaachana, je mnakua ma ex au nini? Mwenzenu sielewi nachoka tu
Aaaah!!
Mwisho wapi bana, Nyerere na katiba lake bovu katuletea hekaheka tu!Nilikwambia jana ilikua ya mwisho maa karibu kwenye uzi tukamjadili Nyerere
Namuelewesha mwenzangu hanielewi, namuambia alikua rafiki au mtu wa karibu tu, hataki kukubali.Mnakuwa watu mliowahi kufahamiana tu.
Mi mpaka nadolishiwa mwanamke mwingine, nabaki kucheka nawaona wote mataahira yeye na huyo chizi mwenzie..!! 😹😹😹Sio kibongo Bongo wewe 🤣🤣🤣
Hapo lazima mtukanane sana na minuno kama yote.
Nimeona asieee 🔥🔥Mbona nishapita huko juu
Mie simuiti Ex, namuitaga "Brooh" anakasirika hatari, utasikia "yaani wee nilicheza mistake bila kuweka alama hapo, ndio maana unadharau"😹😹😹 Hapo hata mi sielewi..!!
Na mi ninaye mmoja hivyo hivyo na anadai namdharau sababu hajala kitumbua.
Anataka nimpe ili penzi livunjike kweli.. 😹
Wanaume wanamind kweli kama hujampa afu unamuita ex..
😹😹😹Maadui kabisa hivi mahusiano ya Kibongo unayajua wewe ? Hapo ni uadui mwanzo mwisho 🤣
Huwa unapendega kunichokonoa lakini 😃😃😃😳 Alooooh!!
Manyanza kumbe mtramu hivi na mi sijui? 🥰🥰
Mnaolalamika hatutunzi usichana nyie kuweza kwa vyuma km hivi?? 😹😹
Manyanza kwa uhansamu huu hutakiwi kufokewa kabisaaa…!!
Weeh umanga wenyewe unao, em sababisha udugu..!!😂😂😂😂 u manga niutoe wapii udugu?
Hebu nikwapueHatutaki vurugu na mademu zenu 😹😹
Unafikiri mi nikikwapua utarudi tena huko??
Mzee katuachia balaa 💔Mwisho wapi bana, Nyerere na katiba lake bovu katuletea hekaheka tu!