Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Hapo ndo unapozidi kumkera na hiyo bro 😹😹😹Mie simuiti Ex, namuitaga "Brooh" anakasirika hatari, utasikia "yaani wee nilicheza mistake bila kuweka alama hapo, ndio maana unadharau"
😂😂😂😂
Hivi kwanza inakuwaje mpaka mmeshindwa kuitikisa amri ya sita?