Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,727
- 55,401
Nisiseme sana ataleta mrejeshoHarakati za Wakinga Mkuu
Nisiseme sana ataleta mrejeshoHarakati za Wakinga Mkuu
Katoe copy nakala 3 moja uipeleke uongozi wa JF, nyingine upeleke kwenu na moja uje nayo kwangu..!!Tayari vipo na wadhamini wawili
SawaKatoe copy nakala 3 moja uipeleke uongozi wa JF, nyingine upeleke kwenu ma moja uje nayo kwangu..!!
We muache sumu haijaribiwi kwa kulamba..!!😹Anaziweza nginjanginja? Maana watu wa pande hizo na kule kwa kina To yeye hasa wanawake, Ke mmoja ni sawa na vijana wa gen Z 10
Haya pita hapa nihakikishe uko Kama kweli wewe sio Gen ZKu moyoni
Yaan haelewi kabisa.This is perfect.
Udugu, huyu alikua anajifanya yeye classic sana, kisa kuwa hapo MUHAS, na mie wakati huo niko zangu kiskuli nakula msoto wa masomo, aliona sio hadhi yake.Hapo ndo unapozidi kumkera na hiyo bro 😹😹😹
Hivi kwanza inakuwaje mpaka mmeshindwa kuitikisa amri ya sita?
Hii kweli naked 😹
Nimeona uko msupuu sana 🔥🔥Nishapita
😹😹😹😹 Alikuona sio level zake?Udugu, huyu alikua anajifanya yeye classic sana, kisa kuwa hapo MUHAS, na mie wakati huo niko zangu kiskuli nakula msoto wa masomo, aliona sio hadhi yake.
Eti toka niwe Hapo Main campus, kaanza usumbufu, namuangalia najisemea "hiii" kwanza sahivi namuona sio type yangu, atafute rika lake mxiiiieeew.
😂😂😂😂
Ni bless basiHii kweli naked 😹
Uko vizuri 😍🔥🔥
Una pua nzuri kama mshumaa wa pasaka..!! 😘
Una weusi mzuri wa kuteleza 🔥🔥
Kweli we vitru zangu 😹
TenaNimeona uko msupuu sana 🔥🔥
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila .....Hii kweli naked 😹
Uko vizuri 😍🔥🔥
Una pua nzuri kama mshumaa wa pasaka..!! 😘
Una weusi mzuri wa kuteleza 🔥🔥
Kweli we vitru zangu 😹
Kijana wangu apambane kwanza 😃😃😃 asije ghafla akaanza kuanzisha nyuzi za makasiriko kuhusu Pisi za Jamiiforums.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ila .....
Kwa kweli🤣🤣🤣Kijana wangu apambane kwanza 😃😃😃 asije ghafla akaanza kuanzisha nyuzi za makasiriko kuhusu Pisi za Jamiiforums.
Upo sasaTupe ya mwaka huu
😂😂😂😂 udugu nimechekaa mie hadi sio poa,😹😹😹😹 Alikuona sio level zake?
Akuache tena akae kwa kutulia..
Hii dunia duara wahenga walishasema, muda wowote wa mwisho anakua wa kwanza..!!
Zidisha kumkera mpaka ajione mavi, hao ndo wanaume wapuuzi..!!
Sasa anatamba hapo MUHAS wakati hata ajira hajui ataipata vipi? 😹
Kwanza ajira kapata?
Una urefu gani ? 😍Tupake tuende kwa shemeji yenu😹😘🌸🥵
View attachment 3690626