Selfika na JF: Snap it. Show it

Yatakushinda mate πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huyu kijana kawahiwa ila basi tu wanaume hawajui kutulia 🀣
Mbona mi sijamuona aliyemuwahi?

Em acha kumbania kijana wa watu, mpe nafasi tucheze vanga..!! 😹😹
 
Ya nini ufe na tai shingoni udugu wangu na vitu vyako unavijua khaaaaa..!! 😹😹😹

The ghost aje aselfike nishasahau muonekane wake..!
Uduguu, yule jamaa ni vitu vyangu, sema sahivi nimezeeka, ingekua enzi zangu ningemsarandia mie.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…