ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Ila hua unataka wenzio wajianike πSio hatujiamini. Nina sababu zangu kuficha sura yangu humu. Hata hivyo ni leo tuu sababu, nimefurahi Real Madrid kumkanda mtu goli nne, kwa comeback ya kihistoria. π
Kwako pia MkuuBasi sawa. π
Ndugu zangu wa selfika, usiku mwema nyote.
Nawe pia, afu nikuulize kitu? Kabla hujalala? πππBasi sawa. π
Ndugu zangu wa selfika, usiku mwema nyote.
Kaka unazingua..Mie humu tayari ninae, πππ
Nishajizolea wangu, sitaki kuchelewa kabisa,
Mtaje shemeji yetuπΈMie humu tayari ninae, πππ
Nishajizolea wangu, sitaki kuchelewa kabisa,
Soreee diha π€Ndo uniblesssπ
Hapa zinataka za mvuto tu, ukiweka zingine, inasema try again later, au please wait at the momentHalafu mbona hizi picha zetu za kizee zinagoma huku.? Au haturuhusiwi?
Jaribu jaribu tuπ―π₯Halafu mbona hizi picha zetu za kizee zinagoma huku.? Au haturuhusiwi?
Kumbe familia π₯π₯ Madrid for life
Sawa mtoto mzuriNitamsimulia kesho macho hayaoni tena π
Selfika, halafu uzuri mida hii watu wamelala..Halafu mbona hizi picha zetu za kizee zinagoma huku.? Au haturuhusiwi?
The Ghost WritterMtaje shemeji yetuπΈ
Mwanya unaoπ₯³β€οΈSoreee diha π€
Nawe pia, afu nikuulize kitu? Kabla hujalala? πππ
Kumbe umewahi kuniona eeeh π πMwanya unaoπ₯³β€οΈ
Kwanini tenaπKumekuchaaa! Sasa hivi itakua vita hapa.
ππππ
Hili jina la avatar yako, lina maana gani? Sorry lakini.Enhee, uliza.