Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe basi nilidhani yeye maana naona anakazana kuomba picha ya kwake haweki😅😅
Huyo bwana Penseli ana id Chiwawa hamfikii..!!

Ndo anayesambaza pic na price tag huko pm 😹😹

Mfano anachukua pic ya Lamomy anatuma na maelezo ni winga kkoo anauza vijora, JF bwanaake ……… Hapo anakuwekea mtu mnayetaniana. Kisha anasema ukiwa na kiasi kadhaa umempata..!!

Kama uliwahi kuweka contact zako basi anarahisisha mambo anakujazia na namba zako za simu kwenye profile yako..!! 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…