ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Anapata faida gani kwa kufanya hivyo?Huyo bwana Penseli ana id Chiwawa hamfikii..!!
Ndo anayesambaza pic na price tag huko pm 😹😹
Mfano anachukua pic ya Lamomy anatuma na maelezo ni winga kkoo anauza vijora, JF bwanaake ……… Hapo anakuwekea mtu mnayetaniana. Kisha anasema ukiwa na kiasi kadhaa umempata..!!
Kama uliwahi kuweka contact zako basi anarahisisha mambo anakujazia na namba zako za simu kwenye profile yako..!! 😹😹😹